Hodi hodi

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,053
Wapendwa,
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu,

Ninaomba mnipokee ili tuweze kushirikiana pamoja katika kulisongesha hili gurudumu. Ninaahidi kushirikiana nanyi kwa moyo mmoja sambamba na kufwata kanuni na taratibu zote za JF.

Ninatumaini mtanipokea kwa moyo mmoja.

Wasalam mdogo/dada yenu,

Nakadori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…