Asante mtu mzuri. Ila nna swali kwa mfano unakuta mada ina comment nyingi sana by then nikifungua kwa simu naona picha flani kwenye mada hisika ila nilitaka kuipata ile picha ni hadi nipitie comment zote na hiyo inakula tyme sana nauliza kama kuna shotcut yyte kuweza kupata picha kwa urahisi