Hodi hodi wanajamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodi hodi wanajamii

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bakarikazinja, Feb 24, 2010.

 1. b

  bakarikazinja Senior Member

  #1
  Feb 24, 2010
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kawaida mgeni yeyote akifika nilazime apige hodi ,hivyo naomba mnikaribishe JF niweze kujumuika nanyi katika huu uwanja wenu
   
 2. b

  bakarikazinja Senior Member

  #2
  Feb 24, 2010
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uliomzuri katika ushauri mbalimbli
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,156
  Likes Received: 1,764
  Trophy Points: 280
  we uliingia kimykimya mwaka jana hafu ukapotea kimyakimya. Karibu masharti yazingatiwe!
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Karibu lakini mbona hapa sio jukwaa la kupigia hodi? sasa glasi na viti viko kulee ukumbini! wacha turudi kule tukakujulie hali! Hapa hationani uzuri!
   
 5. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  karibu mgeni, umeleta nini?
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,626
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  karibu sana ...inaonyesha wewe si mwanasiasa ...kwa mlango ulioingilia
   
 7. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hizo mbio zoote ulizokuja nazo ndio ukashika breki hapa, nenda reverse kata kona ingia kulia utakuta bango limeadikwa utambulisho ndio hapo hapo, karibu sana.
   
Loading...