hodi hodi wanajamii forums na kisa chakweli naomba mawazo yenu

nashukulu sana kwa wote mliotoa michango yenu japo kuna mmoja alitaka kujua ni mke ,mchumba au mpenzi? mimi niliweka yote haya makundi makusudi ilinione michango itakuwa vipi lakini kiukweli ni MKE ndiye aliyefanya hilo kosa na simara ya kwanza alishafanya hivyo mume akamsamehe lakini imejirudia na kila akiulizwa hatowi sababu za msingi kwa nini anayafanya hayo kiasi kilichopelekea kuona labda nililete hapa javini kupata mawazo inakuwaje ? na kwa mara hii mume ameamua waachane yeye anadai kujiuwa kama atamuacha na wana mtoto mmoja kwa hali hii nini akifanye kwa wazoefu wa ndoa naomba mawazo yenu zaidi
 
Back
Top Bottom