Karibu lakini tunaomba ufafanuzi wa ke jee ni mke au dumejike?
According to ur qsn:
The way you are is how I'm i
Full stop>>> :baby::A S 13:
hapo hamna mgeni yaani kuingia nakuingia tu uwe mmu
dizaini upo uyole!? sema tukutane wapi?According to ur qsn:
The way you are is how I'm i
Full stop>>> :baby::A S 13:
Ngoja nifanye upekuzi chap kabla mabazazi hayajakodoa machoUliza ukamate fursa....
Mkuu utanivunjia ndoa ona sasa kichuna wangu mango g kasikia niko huku.ngoja kwanza ile team ije wakukague kwanza, then tutapa sababu za kusema karibu..afu yaani PM 2/3 za window7 unaziita changamoto ngoja waje wawindaji wenzie nakwambia utaomba Oparesheni maliza majangiri ipite mitaa hii..
loh! windo naota! au kwl? yan mm hujawahi kunikaribisha pm hta cku1! kwl ww jamvi la wagen
Karibu sana bi-dada! jisikie nyumbani!
dizaini upo uyole!? sema tukutane wapi?
Dah! parokiani kwa mzee wa upako?? a.k.a...............................
by the way asante sana nitakaribia Ennie akikubali kunileta
Karibu lakini tunaomba ufafanuzi wa ke jee ni mke au dumejike?