mango g
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 517
- 215
Ohooo.. Umechafua hali ya hewa sasa
loh windo! cjui hta nkwambie nn!...... mgeni karibu sana sana
Ohooo.. Umechafua hali ya hewa sasa
Wakati unamuonyesha usisahau kumpitisha kwangu
Karibu sana mrembo,badae unikumbushe nikuonyeshe mazingira
Kuna ugali wa muhogo na samaki karibuni sana
Kuna ugali wa muhogo na samaki karibuni sana
Asante sana
Valentine imekaribia sasaJamani mimi ni mgeni nikaribisheni tafadhali
kupunguza maswali mimi ke!
Maziwa ya mtindi je
Karibu sana JF na MMU...
Karibu sana.
Jisikie upo nyumbani
Na ww utapita kwangu?
Mie sinywagi madhiwa ila ngoja nikuandalie mgeni
Ningepita mpendwa tatizo ni njia na ugeni huu
Kama hivo poa,ndo tunakuja tuko njian
Karibu sana Itezi, uje ujione dunia ya kisasa ! km😀igital friends/Dig,com/DigitalFotos/digitalLove/digitaTech,nk.Jamani mimi ni mgeni nikaribisheni tafadhali
kupunguza maswali mimi ke!
Karibu sana bi-dada! jisikie nyumbani!Jamani mimi ni mgeni nikaribisheni tafadhali
kupunguza maswali mimi ke!