Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa la JF. The forum seems to be very educative and entertaining. I've been following the topics in here for quite some time now,nimeamua kujiunga ili niwe sehemu ya familia ya JF

Karibu sana Mwendakulima.
Hapa ni mahala sahihi kwa watu wanaohitaji kweli, na kweli tupu!
Tunategemea mchango wako utatujenga zaidi!
Swali la kizushi: Ni lini utaenda huko shamba, au unalima `remotely`?
Maisha ya town poa tu mbona?
Sa huko kijijini utapata wapi mtandao mzee. na mwenyewe unajua wazi kabisa kwamba waTanzania wanaopata nishati ya umeme ni 4%?
Au umekuja ujiandikishe, halafu utambae?