Hodi hodi wana jamii forums

Hodi hodi wana jamii forums

Monicam

Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
8
Reaction score
0
Naitwa Monica ndo najiunga leo na Jamii forums, natumaini mtanipokea vizuri.
 
Leo kina dada mmeamua kujiunga na forum yetu. Karibu sana mchango wako muhimu
 

Kumbuka ku`maintain hiyo gender, usije ukaamka siku ingine na kusema ni `he` mwaya`...watu wa humu wana mikumbukumbu kama mdudu mmoja kwetu tunamwita "nchungu" ...huyu anakojoaga sehemu moja tu katika pori, hata akiwa kilomita ngapi za umbali toka mahlai hapo, lazima arudi kukojoa hapohapo tu!...lol!
 
Back
Top Bottom