Hodi hodi wana jamii forums

Naitwa Monica ndo najiunga leo na Jamii forums, natumaini mtanipokea vizuri.

monica karibu,tumekumiss jamvini ila nafurahi umefika. Pole kwa safari na karibu tujenge taifa imara,pia walete na wenzio waone Great Thinkers wanavojadili. Nakuakikishia humu Jf hamna mpuuzi ila watu wote uchangia as per ones IQ, welcom.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom