hodi hodi wajameni

mimi ni mgeni jf natafuta demu awe mpenzi wangu kwenye simu tu

bahati yako nimepata konstipesheni ya maneno juzi kati...ningekunyea kwa wingi...
vp mzee ulikotoka ulika wakiume peke yako sio?
 
huwezi ita bibi zako, mama zako, dada zako mademu

akaribie hapa
ila lugha hizo aache huko huko

safi sana...
na akizoea atakumbuka ukaribisho wake...
ndo kakukuta receptio leo aise...au kama vip arudi alikotoka...
 
Kwa hiyo umesikia hapa ndio kwa kutafuta mademu?! si bure unawashwa wewe!
MP.

nilipoona tu maprosoo umejibu nikafungua fasta...
aaaah sasa mbona umempendelea hako katusi hapo mwishon???mpe lile lenyewe akae chini...
puuuuu...
 
We kadogoo hata mchicha nadhani hujaotesha !
Pashwa kwanza upige mswaki wa macho !
Maji ya Bahari unayapima kwa kidole ? Jf ni Maji maTALL ! Haya karibu.
 
Haya ndio matatizo ya shule za kata. Nenda karudie mtihani wa form 4 japo upate D tatu m.a.lay.a w.ee
 
nilipoona tu maprosoo umejibu nikafungua fasta...
aaaah sasa mbona umempendelea hako katusi hapo mwishon???mpe lile lenyewe akae chini...
puuuuu...

Tehtehteh........ kwa leo tumsamehe!! mana stress za kupata division mwanaAsha ndio zinamsumbua.
MP.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom