Hodi hodi ukumbini

Hodi hodi ukumbini

Softybaby

Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Nawasalimu nyote ndani ya ukumbi huu wa jf. Ni mara yangu ya kwanza najiunga na mtandao huu. Ni matumaini tutafahamiana na kuelimishana zaidi kupitia mijadala mbalimbali. Tafadhali mnipokee
 
Softbaby,karibu sana jamvini. Ulivyosema 'hodi hodi ukumbini' umenilumbusha mbali kweli...,enzi za ngonjeraa...!
 
Softbaby,karibu sana jamvini. Ulivyosema 'hodi hodi ukumbini' umenilumbusha mbali kweli...,enzi za ngonjeraa...!

NusuMutu ni kweli nilikuwa miongoni mwa vijidada mahiri wa ngonjera enzi za primary mwaka 47
 
Unakaribishwa mgeni. Ingia mpaka ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom