Hodi hodi "the great thinkers"

Apr 10, 2012
32
2
Enyi wana JF. naja jukwaani na yangu machache ili kuzitafakari mada mbalimbali. Wote wenye fikra pevu nikaribisheni kwa uchache wa wivu, wepesi wa chuki, wingi wa upendo na uzito wa furaha ili tui-enjoy dunia ya mola yenye Asali na Pilipili.
 
Karibu sana dogo hapa kuna asali nyingi na pilipili kiduuuchu. Hihihihiiii...hahahahahahahaaaaa!..tehetehetehetehee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom