Hodi Hodi Power G Ametoka Kifungoni

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,897
1,225
Wapenzi wanaJF nawasalimuni kwa mpigo Mamboooooooo! Nimewamiss sana baada ya kuhukumiwa na majaji wa JF kifungo cha miezi 3 kwa kosa la kumkashifu mzee wa Gombe. Nawaonya na ninyi msije mkafanya kosa kama langu mkaishia lupango, kwani mmoja wa majaji ni kijana wa kufikia wa mzee wa Gombe.

Nasikitika wakati nimeenda lupango nilikuwa nimeposti thread ya kutafuta mchumba, sasa wachumba wamenitafuta hadi wamekata tamaa. Nadhani itanichukua miaka 5 hadi kuja kupata mchumba tena.
 
Myakubanga

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,852
2,000

Mzee wa Gombe ndio nani mkuu?
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,897
1,225
Dahhh pole sana...Ila umejifunza nn ulipokuwa lupango..
Lupango ni kugumu sana, kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kule ambayo siwezi kuyasema, ingawa mimi kwa u-power yangu hayakunipata. Lakini kwa wafungwa wanyonge wanyonge mmmh. Tangu siku ya kwanza naingia lupango nimekuwa nikiwawaza hawa wafuatao, kiasi kwamba nikaona kama siku haziendi:- Ciello, Preta, Lara1 na charminglady. Ukitaka kupata uzoefu mzuri wa lupango, ufungwe mwenyewe.
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
Ndugu yangu Power G huyo mzee mimi mwenyewe alinisababishia kifungo cha mwezi mmoja, usimguse tena yule ni nyara ya serikali
 
Last edited by a moderator:

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,822
2,000
Naona umerudia kosa lile lile!
Wapenzi wanaJF nawasalimuni kwa mpigo Mamboooooooo! Nimewamiss sana baada ya kuhukumiwa na majaji wa JF kifungo cha miezi 3 kwa kosa la kumkashifu mzee wa Gombe. Nawaonya na ninyi msije mkafanya kosa kama langu mkaishia lupango, kwani mmoja wa majaji ni kijana wa kufikia wa mzee wa Gombe.

Nasikitika wakati nimeenda lupango nilikuwa nimeposti thread ya kutafuta mchumba, sasa wachumba wamenitafuta hadi wamekata tamaa. Nadhani itanichukua miaka 5 hadi kuja kupata mchumba tena.
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,112
2,000
Lupango ni kugumu sana, kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kule ambayo siwezi kuyasema, ingawa mimi kwa u-power yangu hayakunipata. Lakini kwa wafungwa wanyonge wanyonge mmmh. Tangu siku ya kwanza naingia lupango nimekuwa nikiwawaza hawa wafuatao, kiasi kwamba nikaona kama siku haziendi:- Ciello, Preta, Lara1 na charminglady. Ukitaka kupata uzoefu mzuri wa lupango, ufungwe mwenyewe.

Duh... hata me kumbe uliniwaza.... hakyakweli nina bahati ya kuwazwa na wewe kweli!!!!
 
Myakubanga

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,852
2,000
Ndugu yangu Power G huyo mzee mimi mwenyewe alinisababishia kifungo cha mwezi mmoja, usimguse tena yule ni nyara ya serikali

Aya aya aya!!
Yaani unamwita jembe la magamba nyara ya serikali?
Ngoja nikuitie Invizibo!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom