Mzee baba kumejaa kila kona mie nimefika jana nimemalizia chumba hapa Glory hotel hali ni teteWenyeji wa Njombe Mjini, nakuja Njombe tarehe 30/04/2026 nahitaji connection ya Lodge nzuri au Hotel ya kawaida maana naona hiyo tarehe bila kufanya booking mapema sitapata Lodge au hotel hapo Mjini kati, Bajeti yangu kwa Lodge au Hotel ni 30k - 50K,
Ila kama hali ya kupata hifadhi nzuri (Lodge nzuri) itakuwa ngumu, hata Lodge ya 15k - 20k sio mbaya jambo la msingi iwe na maji moto tu😁
Nakuja Njombe kwa ajili ya Mei mosi na Utalii. Nitakuwa Njombe siku mbili then nitaingia Makete - Kituro National Park
Zimefull zote mzee baba,labda utafute Makambako 60kms to NjombeWenyeji wa Njombe Mjini, nakuja Njombe tarehe 30/04/2026 nahitaji connection ya Lodge nzuri au Hotel ya kawaida maana naona hiyo tarehe bila kufanya booking mapema sitapata Lodge au hotel hapo Mjini kati, Bajeti yangu kwa Lodge au Hotel ni 30k - 50K,
Ila kama hali ya kupata hifadhi nzuri (Lodge nzuri) itakuwa ngumu, hata Lodge ya 15k - 20k sio mbaya jambo la msingi iwe na maji moto tu😁
Nakuja Njombe kwa ajili ya Mei mosi na Utalii. Nitakuwa Njombe siku mbili then nitaingia Makete - Kituro National Park
Makambako nilikuwepo mchana napo nzuri zote zipo full , labda pale kwa mbunge ndio sijaenda kaulizieHallow noma sana,, kwahiyo unanishauri ni nistop Makambako town huko ni kepengele au sio