JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
kuna zumbe wa kike siku hizi. Chezeiya globalaizesheni?
hahahahahahahaah! loh hii kali, King'asti nakumbuka ulikuwa miongoni mwa watu walionipokea hapa JF, huna kabinti aisee kaje nikape tution ya hesabu?
hivi huna habari siku hizi wachungaji pia huwapa mabinti na tution za hesabu? uliza uambiwe....
Duh mechanganya madesa... Mamndenyi kuya huku tafwazali.....
jamani wenyeji wa humu Chit-Chat naombeni hifadhi walau hata ya wiki moja hadi huu mwaka uishe, nimetokea kule jukwaa la stress kuna wale vijana (siku hizi wanaitwa masalia) wameniudhi sana...
yule babu wa jukwaa hili mwenye vijukuu vingivingi ajitokeze tafadhali walau anipatie hata kajukuu kamoja tu kakustorisha nako... sina makuu mgosi chochote ntakachoandaliwa ntakula tu....
Hodi tena....
Thank you very very much Mamndenyi. Special dedication to Blaki Womani, much love.
Heheheheeeee sasa measkron niko natafakari huyu tumpe mjukuu gani nimeshindwa....hivi unadhani FP atamfaa zumbemkuu ?Pole sana babu zumbemkuu, karibu jukwaa lisilo na stress kabisa, huku kuna babu Asprin ila kwa sasa yupo Rombo mamsera anakula sikukuu ya xmas na mwaka mpya, kuna bepari la kihaya humu linaitwa Bishanga huwa na mbwembwe sana atakuja kukufungulia champaign ya ukaribisho. Kuuna vijana wana fujo sana hapa kina Erickb52, Filipo, Arushaone, Baba V, manoah, St. Paka Mweusi. Kina dada wenye fujo sana humu ni Kongosho, marejesho, Preta, Madame B, Arabela. Mimi nimeolewa nina mume wangu kipenzi watu8 na mungu ametujalia watoto beibe nasty, charminglady, sweetlady, WiseLady na wana kaka yao aitwae Davie S.M. Sote tunakukaribisha sana
Heheheheee namimi naicopy kwa Kipipi much loveThank you very very much Mamndenyi. Special dedication to Blaki Womani, much love.
We zumbemkuu utawaweza mabinti wa humu?hivi huna habari siku hizi wachungaji pia huwapa mabinti na tution za hesabu? uliza uambiwe....
halafu nimesikia tetesi tetesi kuwa babu Asprin amezeeka sana anatafuta mrithi wa kukagua mabinti, nasikia ananitajataja sana huenda anataka aniachie urithi loh!