hodi! Hodi! Hodiiii.

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
naomba mnikaribishe waungwana. Wakubwa shikamooni. Wadogo marahaba. Wengine habari zenu.
Nawapenda woooote.
 
Marhaba kijana, karibu sana jukwaani lakini uendelee na heshima hiyo hiyo ktk kutoa au kuchangia mada.
 
Pcm pita ndani mlango upo wazi.
 
nawashukuru wote mlionikaribisha. Pamoja sana. Mungu azidi kuwabariki.
 
Nani, Jairo? taratibu utatuvunjia mlango, bonyeza kakengele hako upande wa kulia juu ya mlango...karibu bana kumbe hamna umeme.
 
Karibuuuuuuuuu, tena wewe unafaa kwa kuwa unachungulia, wengine mmmmh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…