Hodi! Hodi! Hodi! kwenye jamiii

Hodi! Hodi! Hodi! kwenye jamiii

Dia Gnosis

Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
7
Reaction score
1
Wanajamii,

Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini.

Asanteni
 
Karibu sana dada kaskazini ya wapi upo hamna jina??Sio vibaya kuuliza dada karibu sana jamvini!!!
 
Wanajamii,

Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini.

Asanteni

Karibu sana Dia,dada wa Kaskazini ya Dunia.Tunahitaji sana michango yako humu jamvini.Karibu Dia.......YoYo upo?????
 
Mie naishi mji wa makampuni ya uchimbuzi wa mafuta, Stavanger nchini Norway...
 
Wanajamii,

Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini.

Asanteni

Karibu, mimi ni huyo, hapo ulipozaliwa.
 
.......YoYo upo?????
Kuna vigezo naona hana kwa jinsi anavyojibu post anaonekana anakosa kigezo hiki kwa haraka haraka.......anyway karibu sana JF
mimi ndio Yo Yo niko single
....awe anaringa mwenye mapozi na aibu mwenye sauti nyembamba na kila nikiongea nae aangalie pembeni au chini....sio awe mkakamavu naongea nae kanitumbulia macho bila uwoga....asiwe na manguvu meengi kama ya serena.....awe laini laini tu.......asiwe jasiri sio mwanamke anaona nyoka hata hakimbiii nataka hata akiwa anaangalia movie za kutisha ananirukia kwa kuogopa......
 
Kuna vigezo naona hana kwa jinsi anavyojibu post anaonekana anakosa kigezo hiki kwa haraka haraka.......anyway karibu sana JF
mimi ndio Yo Yo niko single

tehe tehe tehe tehe
 
Karibu saana ,ila hoja zinahitajika.Ili turekebishe yale yaliyomo kwenye jamii,hasa yasiyofaa
 
Back
Top Bottom