Hodi! Hodi! Hodi! kwenye jamiii

Karibu sana jamvini kwetu. Jisikie huru kuchangia mjadala wowote ule ambao unaona unaweza kufanya hivyo. Humo kwenye fridge kuna nyama za kuchoma, chapati, sambusa, kalimati, bajia, kabab, bia na soda. Jisikie huru kujichana kwa chochote kile lakini nibakishie sambusa. Ha ha ha ha I am just joking ;) Welcome aboard :)
 
naitwa singlestar ,ndio kwanza nataka kujinafasi na blog hii,wanawake wa dar ni watu wa ajab sana,mmesikia kuhusu kitchen party ndani ya facebook
 
wanaongea matusi mwanzo hadi mwisho ,ukiwa member huko utashhuhudia usiyo yatayarajia kwaa watu wazima kama hao
 
Back
Top Bottom