Hodi Hodi Here I bring it!!

Hodi Hodi Here I bring it!!

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Wanajamii wazima

na mimi leo nimejiunga baada ya kuchungulia kwa muda mrefu

natumaini tutasadiana katika mchango ya kujenga Taifa
 
Karibu sana jamvini, pita moja kwa moja mpaka jukwaa la siasa.
Mkaanze mapambano!
 
Lakini wewe ni mgeni au mwenyeji ulieamua kutoka kivingine?
 
karibu sana mkuu..............kua makini na jasiri usije kata tamaa mapema
 
Back
Top Bottom