claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 316
- 479
- Thread starter
- #61
Sio officially saanaUmesahau mobile app
Sio officially saanaUmesahau mobile app
Angalia quora ilitengenezwa na nnSio officially saana
Hapana sio lazima kujua language nyingi. Ni vizuri ukaimaster language moja kwanza then ukaifanyia kazi.Hivi ni lazima kusoma hizo language zote? Je language moja pekee e.g python haitoshi kufanya vyote?
Safari haitakuwa ndefu kama utaanza kupiga pindi lako wewe kama wewe.eniwei, mi bado diploma safari ni ndefu....
Hahha we jamaa acha puchu vision itakaa poamaisha yatatugonga.... nikiangalia mbele naona giza
Asante sana mkuu.Hapana sio lazima kujua language nyingi. Ni vizuri ukaimaster language moja kwanza then ukaifanyia kazi.
Au kama utataka kujifunza kitu kingine ambacho kitahitaji uijue language fulani, basi huo ndo utakuwa muda sahihi wa kujifunza language mpya ili uanze kuifanyia kazi.
Uzuri wa programming languages ni kwamba concepts ni zile zile kinachobadilika ni syntax tu so kama umemaster language moja ni rahisi sana kujifunza language nyingine.
Ila ukirundika language nyingi bila kuzifanyia kazi unakuwa unapoteza muda tu.
Boredom, ni tatizo la kisaikolojia na inahitaji kujitibu. Njia moja wapo hasa kwa kujisomea na kujikumbusha take a small piece and then add volume slowly slowly.Huna tofauti na mimi assignment yenyewe kufanya shida hahaha
Sema tukomae tu tujiajili baadae
Point kabisa mkuuBoredom, ni tatizo la kisaikolojia na inahitaji kujitibu. Njia moja wapo hasa kwa kujisomea na kujikumbusha take a small piece and then add volume slowly slowly.
Njia ya pili Chagua maeneo unayoyapenda na develop interest, mfano mada unazozipenda.
Tatu understand your learning style.
Bookish ,video,text,picture au combination of all.
self study vs group study.
Sasa kuna teknolojia nyingi sana, apps,BOT, you tube,podcast, audio lecture,video nk.
Ukiona haujachekewa drop out na anza kitu kingine.
Kumbuka wengi sisi waafrika husoma kwa shinikizo la hupata kazi hivyo huchagua kozi kwa mkumbo, halo hii huwaathiri watu wengi sana baadae na kukosa furaha ya maisha. Nyie kama vijana hmjachelewa mnayo nafasi ya kubali mambo hata kama mtamaliza hio kizi na baadae kusoma/kujifunza hoby zenu.
Sisi wengine tumekuwa bored na kazi tulizofanya muda mrefu, nimchakato mgumu sana kubadili kazi wachache hufanikiwa ila masomo ni rahisi.
Huyo mtu alieanza kusoma programming akiwa na miaka 13 lazima awe bored, ameisha poteza hamu, hana jipya analojifunza, hi ipo sawa na akina BillGate walijikuta what professor is teaching is not new and it us shallow, wakaamua kuacha.
Duu kazi ipo, kwani nini maana ya programmer? Ukijibu hilo swali halafu angalia na ulichokiandika hapo.Tuwekee projects zako hapa itakuwa vizuri zaidi. Pia kama unatengeneza software nadhani ni vizuri ujiite developer na sio programmer
Habari kiongozi niko mwanza nawezaje kuwa karibu na weweWana Tech Kwema?
Mimi ni full stack programmer
Nafanya Web, na Mobile
Nafahamu languages zifuatazo
1.PHP
2.Javascript
3.Java
4.Kotlin
5.mysql
6. Na kidogo flutter
Mimi sio mzuri Sana kwenye CSS
Nafahamu frameworks zifuatazo
1.laravel and Codeigniter
2.Spring
3.express js
4.jquery
5.Na kidogo React Native.
Programing ni rahisi ukiwa na Nia.
Nitakuja kuelezea in and out about Programming
Coding for life.
Nahitaji uelewa zaidi niko mwanza nakupatajeWana Tech Kwema?
Mimi ni full stack programmer
Nafanya Web, na Mobile
Nafahamu languages zifuatazo
1.PHP
2.Javascript
3.Java
4.Kotlin
5.mysql
6. Na kidogo flutter
Mimi sio mzuri Sana kwenye CSS
Nafahamu frameworks zifuatazo
1.laravel and Codeigniter
2.Spring
3.express js
4.jquery
5.Na kidogo React Native.
Programing ni rahisi ukiwa na Nia.
Nitakuja kuelezea in and out about Programming
Coding for life.
Wana Tech Kwema?
Mimi ni full stack programmer
Nafanya Web, na Mobile
Nafahamu languages zifuatazo
1.PHP
2.Javascript
3.Java
4.Kotlin
5.mysql
6. Na kidogo flutter
Mimi sio mzuri Sana kwenye CSS
Nafahamu frameworks zifuatazo
1.laravel and Codeigniter
2.Spring
3.express js
4.jquery
5.Na kidogo React Native.
Programing ni rahisi ukiwa na Nia.
Nitakuja kuelezea in and out about Programming
Coding for life.



language zote zako mzee umekua machine 


