mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,634
- 73,269
kuna field niliambia networks na database ndo zina soko sana huku tz....Kesho na prac ya Network hahah ili somo nalikubali ila halishindi Database na programming
Web nayo imekaa kikuda coz lecture anatoa kazi mpaka mbupu inasinyaaa