Mkuu, tuheshimianeSpring matindo ana ana do kalale nacho tutaonana kesho, mpeeeenzi kidali poo
Hahahahha ngoja nisubiri mimi najua hiyo ni RDBMSHivi mysql ni language gani programmer ?
Chukua kamba yako huku...Kule mods washafuta chaka lako😂😂😂Hahahahha ngoja nisubiri mimi najua hiyo ni RDBMS
Bora umesema wewe.Mwambie hio ni system inaitwa RDBMS na language inayotumika ni SQL tulia hivyo master
Hapa hamna programmer kuna msoma madesa tu.Mzuri Hadi udenda unanitoka asee, Jf Bwana Mimi napenda back-end Languages like Node.js ni JavaScript web development, Python hapa natumia framework km Flask na Django, PHP (baba lao), Java km Java, Ruby na C#
Hahhahahahahah Mkuu umenipaniaChukua kamba yako huku...Kule mods washafuta chaka lako😂😂😂
View attachment 2625608
Byebye R.I.P Binadamu Mtakatifu
Revenge! Utatoa hutoi😂😂😂Hahhahahahahah Mkuu umenipania
Hamna atakaye weza kuelewa kama vipi chagua language hasa php au js uelezee kwa mifanoSehemu ya tatu
Kila programming languages ina sheria na kanuni ni lazima uzifuate.
1.Function
2.loop
3.Variable
4.Array
5.if else statement
6.comment
7.logical Operator
8. Arithmetic Operator.
9.math operator
10.Datetime
Amini usiamini usipofahamu hii misingi hutokaa uelewe programming maisha yako yote.
1.Function hii imegawanyika katika makundi mawili
Kwa sentensi rahisi unaweza kusema kuwa function ni kundi la code ambalo unaandika mara moja tuu alafu unaweza kuitumia popote pale ambayo unataka kuitumia yaani haina haja ya kuandika kila saa unaandika code moja
Mfano umendika function ya userlogin au user register huna haja tena ya kuandika tena code bali tuu unaita ile function yako
Mfano userlogni(); hivo tuu yaani.
A.function declration
B.function expression
Function declaration hii unaweza kuiita nje ya function bila kuleta errors yeyote tofauti na function expression nitakuja kuzielezea vizuri mbele na mifano yake ili uweze kuelewa.
Nitatumia php kuelezeaHamna atakaye weza kuelewa kama vipi chagua language hasa php au js uelezee kwa mifano
Sawa sasa ngoja tuoneNitatumia php kuelezea
Hahaha mkuu unashindwaje kujua nilianza programming nikiwa na 13 yrswale tunaosoma kozi zenye programming ila hatujui kitu tunyooshe mikono....✋
sijui nimekuwaje yaani.... sipendi kusoma... imagine hadi saivi sijaingia pindi hata moja hii semester😅 na kozi nimeishobokea mwenyewe, nilipangiwa kozi nyingine ila nilibadilisha nikaweka ya saivi....Hahaha mkuu unashindwaje kujua nilianza programming nikiwa na 13 yrs
Huna tofauti na mimi assignment yenyewe kufanya shida hahahasijui nimekuwaje yaani.... sipendi kusoma... imagine hadi saivi sijaingia pindi hata moja hii semester😅 na kozi nimeishobokea mwenyewe, nilipangiwa kozi nyingine ila nilibadilisha nikaweka ya saivi....
kujiajiri ni soo tunachukulia poa... sema nimeanza kupenda penda computer networks ntakazana nayoHuna tofauti na mimi assignment yenyewe kufanya shida hahaha
Sema tukomae tu tujiajili baadae
Kesho na prac ya Network hahah ili somo nalikubali ila halishindi Database na programmingkujiajiri ni soo tunachukulia poa... sema nimeanza kupenda penda computer networks ntakazana nayo