Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
umechanganya madesa ww mimi nakaa kitunda bana,maeneo ya kimara bonyokwa...karibu kabisa na kituo cha polisi cha osterbay
mtaa wa temeke nilishahama mwanangu. ngoja ntakutumia tiket ya ndege huku kwetu ndege zinafika hadi mlangoni.
we ile wapande basi nishtue tu mie utanikuta Terminal nakusubiria..........
Shangazi yako DEMBA zamani si alikuwa anakaa Vingunguti Kwa Simba karibu na ile barabara
ya kuelekea Tegeta Kibaoni ina maana alishahama
hahahahahahahaha hii mitaaa mipya eeeh
hahahahahahahaha hii mitaaa mipya eeeh
Hata mimi nikija Dar utanidhungusha? Manaake mi sijawahi fikaga huko .
Nadunduliza nauli nije nimtembelee Shangazi yangu DEMBA , aliniambia anaishi Mwenge mtaa wa Temeke , karibu na Buguruni opposite na Mbezi beach .
Mbwembwe tu huyo.
Nielekeze kule kwaaa niende basi
Shemeji yangu upoooo....nitakuona kweli? Au wewe si wa darisalama.
Hahahaaaaaa. I belong to @ Eli79 only