Hodi Hodi C.C Nimerudiii Tenaa...!! >>Donn<<

Napiga hodi baada ya kuaga na kujipa Ban binafsi... Dah.. Kukaa nje ya C.C Ni mateso aiseee... C.C.B (Chit-Chat Bachelors) Nimerudi, Wanandoa kama watu8 nimerudi...Walio vuguvugu kama noahism nimerudi... Wenye ndoa za mikataba kama Chimbuvu Madame B or Arushaone nimerudi.... Nimepokeeni kijana wenu

Wakaribishwa sana Donn
 
Last edited by a moderator:

welcome back shemeji. Hivi Donn unamjua vempaya mzee?
 
Last edited by a moderator:
Dah. .yawezekana usemalo... Ila nisingerudi endapo nisinge kamilisha majukumu aise

kwakuwa ushakamilisha majukumu uje unione cashier hapa tutengeneze balance sheet sawa babaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom