Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Jf haina ugamba au ugwanda. Tafadhali tengua kauli yako kabla ya haujakaribishwa.
Karibu uwe huru, usisahau kupita hapa JamiiForums Disclaimer and Rules
Una maneno mengi sana japo mgeni, hata hivyo karibu!
mbona wanakuzungusha.ebu karibu pipoooz lakini kama hujatumwa na nape kuchafua hali ya hewa.
Ahsante sana, nilizisoma hizo ....kwa kweli mimi sio mvivu wa kusoma
Hebu nisaidie hiyo sura yako hapo unapitia process gani ili kuipata?
Ahsante....ntashukuru kama hutajali kunipa maelekezo ya kufanya kuweka hivyo vimaandishi hapo chini maana natafuta namna siipati
I will appreciate
Karibu sana mkuu.......
Ukibofya mahali pameandikiwa settings..............basi utakutana na vitu vinavyoweza kukusaidia kuweka sura yako na vimaandishi vya mwisho. All the best.
Karibu sana mkuu.......
Ukibofya mahali pameandikiwa settings..............basi utakutana na vitu vinavyoweza kukusaidia kuweka sura yako na vimaandishi vya mwisho. All the best.
By the way avatar yako ni sayansi gani hiyo?Ahsaanteee sanaaaanaaaa, nimefanikiwa
By the avatar yako ni sayansi gani hiyo?
Nimeishia la 2 tu mkuu.
Are you interested in Physics?
Have you heard of Jean Perrin Experiment? It proves that Cathode Rays are negatively charged
Nimeishia la 2 tu mkuu.