Hod..! humu

Hod..! humu

Last edited by a moderator:
Kwanza karibu jamvini....
Halafu kuna mswahili mmoja hapa kaniomba nikuulize, "eti jina lako linasomwaje?"
 
kunywa safari lager huku ukifurahia Jagwa bila kusahau Chimbwanga na ule mjani lager pembeni.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Kwanza karibu jamvini....
Halafu kuna mswahili mmoja hapa kaniomba nikuulize, "eti jina lako linasomwaje?"
hehehee hujambo broda! Nimemiss my eyes yako! Kesho uje niyaone! Cc amu
 
Last edited by a moderator:
mbona mi hujanitaja inamaana hiyo peace na malovee iwaendee uliowataja hapo juu tuu sawa tuuuuu tutakutana njia panda
 
Acha mizinguo wewe Kadudu24!!
Mgeni gani unawajua wanajamvi wote?
Mgeni gani anajua kumention membaz?
Mgeni gani ...

Mkuu Mpenda Yesu bora na wewe umeona, mgeni anakujua hadi jikoni kabla hajakaribishwa?? Kha! wewe Kadudu24 wach kutuzuga sema ile ID yako ingine ni ipi.....anyway, karibu pia
 
Last edited by a moderator:
Acha mizinguo wewe Kadudu24!!
Mgeni gani unawajua wanajamvi wote?
Mgeni gani anajua kumention membaz?
Mgeni gani ...

muda ulikuwa haujafika. Tangu mwaka jana nlikuwa napitia humu baada ya mtu fulani kunidokeza. Mwaka huu ndio nimejiunga.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom