Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Sikumbuki, hebu mwambie a kam zis wei pliiiz....:rockon:
Sikumbuki, hebu mwambie a kam zis wei pliiiz....:rockon:
Kwanza karibu jamvini....
Halafu kuna mswahili mmoja hapa kaniomba nikuulize, "eti jina lako linasomwaje?"
linasomeka "kadudu twenty four"
Hata mimi hanijui ummu kulthum! Kama mgeni karibu na kama mwenyeji ngoja nikuitie watu8!
Habari wana jfcc! weekend iko bien! karibuni sana niko pande za dom makao makuu ya chama na siri kali! Hehehe! Naianza taratiiib hapa master pub badae chakonichako kisha ntajirusha klub 84! Peace n love!
watu8, Mtambuzi madameb Kipaji Halisi Mentor Paloma King'asti amu cacico snowhite Kipipi Nicas Mtei marejesho Filipo et al
Approved!

Nicas Mtei next wiki naja uwii we Kadudu24 dom vumbi likoje huko?nikija tutaenda kula kuku hapo cc
hewalaa maana mie hiyo namba ya mbele nilikua naithoma kwa kithwahili...kumbe inabidi uithome kwa kiingerdha eenh
Modereta gani nimuulize.
mbona mi hujanitaja inamaana hiyo peace na malovee iwaendee uliowataja hapo juu tuu sawa tuuuuu tutakutana njia panda