Hmmm....eti ni kweli...?

Uongo mtupu. Women Don't cheat. And when they happen to do something that you men would call cheatting, they are simply using their wisdom in response to one of your own behaviors. the person to blame is always the guy.
Women don't lie neither, they just can't. And as everybody knows, they can't keep secrets. Alie andika hivo ana matatizo yake binafsi na wanawake, maybe he is cheating on his wife. or he drove his wife to tht point where she had no choice but see somebody else in secret (technically not cheating lakini)

You have officially lost it. But then again I don't think you are serious...but, I could be wrong.
 
You have officially lost it. But then again I don't think you are serious...but, I could be wrong.
Imagine I had to chose between being completely irrational,
using stereotypes and founding my arguments on my own bias
or being satiric and sarcastic, using my most maieutical approach.
tough one... So which one do you think I chose in the end?
 
Imagine I had to chose between being completely irrational,
using stereotypes and founding my arguments on my own bias
or being satiric and sarcastic, using my most maieutical approach.
tough one... So which one do you think I chose in the end?

The latter....
 
Better cheaters!
it is not a new revelation. Tumesema humu mara nyingi. TukiAMUA kucheat tunaweza vizuri kuliko men.

Cheating is up because we have the means and the motive!
Motivation ya kucheat sidhani kama ni moja kwa kila mwanamke; uwezo wa kifedha humfanya mwanamke kuweza kuamua kuend up mahusiano na si kuvumilia na kuamua kucheat!

Kwenye article hiyo ninachokubaliana nacho ni kuwa mwanamke akiamua kucheat anafanya vizuri kuliko mwanaume.

Na list ya wapenzi, huoni kuwa wanaume wengi husababisha kudanganywa kwa kuwa hawawezi meza ukweli! Refer thread za Erotica kuhusu mwanaume wa 40. Alishambuliwa na wanaume wengi sana. Sasa mtu akija na list ya ukweli say in my 10 years ya mahusiano nimekuwa na mahusiano mara 5 na hit n run 4 utamwelewa kweli? Ndio maana mnaishia kupata wewe ni wapili! LOL
 
Last edited by a moderator:
Imagine I had to chose between being completely irrational, using stereotypes and founding my arguments on my own bias or being satiric and sarcastic, using my most maieutical approach. tough one... So which one do you think I chose in the end?
Dah..Mwali...Where is my oxford dictionary?? Anyway...your signature summarizes this...
 
Better cheaters! it is not a new revelation. Tumesema humu mara nyingi. TukiAMUA kucheat tunaweza vizuri kuliko men. Cheating is up because we have the means and the motive! Motivation ya kucheat sidhani kama ni moja kwa kila mwanamke; uwezo wa kifedha humfanya mwanamke kuweza kuamua kuend up mahusiano na si kuvumilia na kuamua kucheat! Kwenye article hiyo ninachokubaliana nacho ni kuwa mwanamke akiamua kucheat anafanya vizuri kuliko mwanaume. Na list ya wapenzi, huoni kuwa wanaume wengi husababisha kudanganywa kwa kuwa hawawezi meza ukweli! Refer thread za Erotica kuhusu mwanaume wa 40. Alishambuliwa na wanaume wengi sana. Sasa mtu akija na list ya ukweli say in my 10 years ya mahusiano nimekuwa na mahusiano mara 5 na hit n run 4 utamwelewa kweli? Ndio maana mnaishia kupata wewe ni wapili! LOL
Absolutely Kaunga...Mie nakubaliana na wewe 100% ninyi viumbe mkiamua ni wabaya kuliko sisi Nina experience ya rafiki zangu watatu wanne hivi....wenziwao walipogundua hakuna aliyekubali ni visasi tu... Unfortunately wanaume hawakugundua wala hawakuwa na sababu ya kugundua... Kwakuwa mmojawapo aliamua kunishirikisha mchezo walikuwa wakiucheza na mengine niliweza pia kuyashuhudia ....in terms of preparations... sina hamu hadi kesho....Pamoja na ujanja wao (my friends) walikuwa wakidanganywa kama watoto..From there i started to have a due "respect" to these creatures...wewe fanya yako tu lakini akikunasa na akaprove beyond doubt you are in for it...Wakati wewe unafanya kwa ubabe yeye atafanya as if hafanyi lolote which is the worst case...
 
Last edited by a moderator:
Na list ya wapenzi, huoni kuwa wanaume wengi husababisha kudanganywa kwa kuwa hawawezi meza ukweli! Refer thread za Erotica kuhusu mwanaume wa 40. Alishambuliwa na wanaume wengi sana. Sasa mtu akija na list ya ukweli say in my 10 years ya mahusiano nimekuwa na mahusiano mara 5 na hit n run 4 utamwelewa kweli? Ndio maana mnaishia kupata wewe ni wapili! LOL

Ahahahahaaa kwenye hilo kumbe wengi huwa tunadanganywa. Ila uzuri baadhi yetu huwa tunajua kuwa tunadanganywa lakini tunakaa kimya tu.

Ukiambiwa wewe ni wa nne jua kuna hata 15 waliokutangulia....

 
Last edited by a moderator:
Ahahahahaaa kwenye hilo kumbe wengi huwa tunadanganywa. Ila uzuri baadhi yetu huwa tunajua kuwa tunadanganywa lakini tunakaa kimya tu.
Ukiambiwa wewe ni wa nne jua kuna hata 15 waliokutangulia....


Inaweza kuwa ni wanne kweli kama hahesabu zile accident za clubs na the like. Do better kuspecify unamaaminisha nini unavyouliza umeshawahi kuwa na wanaume wangapi! Lkn what is the use, nikikiambia nimekuwa na wengi coz l was searching for some one like u na kwamba u are hard to find kwenye ulimwengu wa sasa, itaongeza mapenzi au utaniona fuksa au sidumu ktk mahusiano?
 
Last edited by a moderator:
Inaweza kuwa ni wanne kweli kama hahesabu zile accident za clubs na the like. Do better kuspecify unamaaminisha nini unavyouliza umeshawahi kuwa na wanaume wangapi! Lkn what is the use, nikikiambia nimekuwa na wengi coz l was searching for some one like u na kwamba u are hard to find kwenye ulimwengu wa sasa, itaongeza mapenzi au utaniona fuksa au sidumu ktk mahusiano?

Mimi nadhani ukweli humuweka mtu kuwa huru. Sioni sababu ya kudanganya kwenye hayo mambo. Na hata kama umeshapitia 30 kama nimekupenda kikweli kweli basi hilo kwangu halitakuwa kigezo ingawa pia kichwani mwangu ntajiuliza mengi...
 
Sioni sababu ya kudanganya kwenye hayo mambo. Na hata kama umeshapitia 30 kama nimekupenda kikweli kweli basi hilo kwangu halitakuwa kigezo ingawa pia kichwani mwangu ntajiuliza mengi...

Nimekupenda, na ninataka kuwa nawe why gamble? Si bora ni wthhold some truth ili nipunguze chances za kukuloose? Hiyo ndio thinking yetu wengi. Wewe mwenyewe umesema utajiuliza maswali mengi; na nikojivika uvictim kuwa mimi ndio niliyendwa wakati mimi ndio nilikuwa say nawachuna, baada ya kuishiwa nadump?
 
Nimekupenda, na ninataka kuwa nawe why gamble? Si bora ni wthhold some truth ili nipunguze chances za kukuloose?

Binafsi napenda kufanya informed decisions. Ukiwa muwazi tokea mwanzo nitafurahi na kukuheshimu zaidi na unaweza kweli kunishawishi kuwa unanipenda kwa dhati na ndiyo maana umeamua kuwa mkweli. Mimi sipendi kufichwa fichwa mambo. Nikikuona una dalili za kupenda kuficha ficha mambo ndiyo utanipoteza mazima.

Hiyo ndio thinking yetu wengi. Wewe mwenyewe umesema utajiuliza maswali mengi; na nikojivika uvictim kuwa mimi ndio niliyendwa wakati mimi ndio nilikuwa say nawachuna, baada ya kuishiwa nadump?

Kujiuliza maswali ni natural. Ni vigumu sana kwa wewe kama binadamu mwenye akili timamu kutokujiuliza maswali pindi mwenza wako akuambiapo keshawahi kuwa na wapenzi wawili au hamsini. Ila kwangu mimi kujiuliza maswali juu yako si disqualification hata kidogo.
 
Hivi Boss, umeshawahi kusifiwa na mwanamke au wanawake kuhusu sexual prowess yako? Ushawahi kuambiwa 'that was good' (meaning the sex)'?

hua tunawasifia lakini mara nyingi hatumaanishi lol! Ni trick tu ya kuwajengea confidence ili msijisikie vibaya. Nyani Ngabu usiwe una amini sana hizo sifa in most cases ni wizi mtupu:israel:
 
Last edited by a moderator:
Babu, big respect to you, busara zako aisee!

Mie kuna ndugu yangu alimcheat mkewe muda mrefu tu tukanyamazia. Akaanza kuleta dharau kwa mkewe na ku-play hard to get. Hadi akastukiwa. Nikamuonya kesi ilipofika kwangu. Sasa hivi mkewe ana affair ya kufa mtu. Na mie formula yangu siingilii maisha ya mtu. Namngoja alete kesi nimuambie wewe ndo mwalimu wake, sahihisha daftari uwe mupolee!

Mwanaume akiwa cheated anatia huruma as if it is the end of the world! Sikilizia akikamatwa yeye anavyokuwa m'babe na kulazimishia asamehewe!

hahaha, jamaa yangu mmoja (mwanaume)alifumaniwa na wife wake...baada ya kubanwa sana yeye akaja juu na kusema "nyamaza wewe mwanamke mwanaume huwa hafumaniwi kwanza umenitia aibu utaona sasa"
 
hata sijaelewa ur angle
but nikupe a very true story...

nilikuwa na rafiki ambae tulikuwa tuna party pamoja sana
na huko mitaani akichukua wanawake wa pembeni anawaleta kwangu
zamani kidogo
na wanawake walikuwa wanamsifia mno utundu wake kitandani
but guess what...niliwahi kutoka na gf wake na akawa
anamdanganya jamaa ili tu asi sex nae
anakuja kwangu
na i was not that good.....
but his gf preferred me than him...
sijui unaelewa hiii?
Comrades Nyani Ngabu, The Boss na babu mwenzangu Dark City
Huu mfano wa TB unaweka wazi na ukweli jinsi hawa watu wa jinsia pinzani walivyo wazuri kwenye kucheat/kupretend. Lakini mwisho wa siku utakuta wana udhaifu wa kuiweka siri kwa muda mrefu.

Nlishawahi kukutana na mama mmoja ambaye mmewe alikuwa mbali kwa muda mrefu sana. Alionekana alivutiwa nami na kutaka nimkatie kiu. Mi si mtu nayependa kutoka na wake za watu lakini mmama huyu bana... I think you know what I mean....

Alinambia mmewe ndo alikuwa mwanaume wa kwanza kukutana naye kimwili. Yaani ndie aliyembikiri! Ofcourse nlijua ananidanganya lakini alipohusisha jina la Yesu kwenye kuapa kidooogo nikaanza kumuamini. Then ikawa vile kwa bahati mbaya (shetani na ashindwe)

Haukupita muda sana nikaja nikagundua si tu kuwa aliolewa na aliyembikiri, bali pia aliolewa akiwa na mtoto tayari!! Mwanamke ukimbana kwenye kona, ni mwepesi wa kufunguka na kuomba msamaha. Vidume ni vigumu kukiri asee. Nakumbuka kuna kidume kilifumaniwa live gesti na mkewe lakini kikakataa katakata kuwa hakijammega ila kilikuwa kwenye process ya kummega wakati kilishatumbukiza goli tatu nyavuni. Tena kikamshukuru mkewe kwa kumuwahi kabla hajavunja amri ya sita na kusema kuwa kwa mkewe kufika pale ulikuwa mpango wa Mungu ili kumwepusha na dhambi na maradhi!!

Naungana na wote kuwa wanawake ni wazuri sana kuficha siri zihusuzo mapenzi na ni wazuri sana kupretend lakini pia wana kasoro ya kutotunza siri hizo kwa muda mrefu. Wanakamatika kirahisi sana baada ya muda.

Natamani sana King'asti na wake zangu BADILI TABIA, cacico na Yummy wasisome hii post.
 
Last edited by a moderator:
Uongo mtupu. Women Don't cheat. And when they happen to do something that you men would call cheating, they are simply using their wisdom in response to one of your own behaviors. the person to blame is always the guy. Women don't lie neither, they just can't. And as everybody knows, they can't keep secrets.
Alie andika hivo ana matatizo yake binafsi na wanawake, maybe he is cheating on his wife. or he drove his wife to tht point where she had no choice but see somebody else in secret (technically not cheating lakini)

Eti nini Mwali?

Haki ya nani wewe umekuja na utaalamu mpya wa kutumia maneno!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani ukweli humuweka mtu kuwa huru. Sioni sababu ya kudanganya kwenye hayo mambo. Na hata kama umeshapitia 30 kama nimekupenda kikweli kweli basi hilo kwangu halitakuwa kigezo ingawa pia kichwani mwangu ntajiuliza mengi...


Uko serious kaka???


Yaani niambiwe kwamba mie ni namba 30 halafu niendelee kujiona kidume cha mbegu??? Heri kutouliza kabisa na kutoambiwa kuliko kujikutana nahangaika kumeza huo ukweli.....Endapo nikiambiwa basi hata huo uongo utaniacha na nguvu zangu za kuperform!!

Hata hivyo, una bahati sana wewe kama unaweza kubaki firm pamoja na kuambiwa kuwa ukitoka wewe ajaye atakuwa namba 101!!!



Babu DC!!!
 
tatizo wanaume wanapenda kudanganyika....ukitaka kujua ukweli jifunze maana ya maswali hya mawili na majibu yale
1...ulishawai kutembea na wanaume wangapi?
2...ulishawai kuwa na mahusiano mangapi?......tatizo linakuja pale unapopewa jibu la swali no moja kwenye no mbili na no mbili kwenye no moja......but always sisi ni wakweli ...hata tukiteleza jua wanaume ndo wamesababisha..wanaume ndo wanasababisha wanawake kuwa mguu pande mguu sawa..
 
hua tunawasifia lakini mara nyingi hatumaanishi lol! Ni trick tu ya kuwajengea confidence ili msijisikie vibaya. Nyani Ngabu usiwe una amini sana hizo sifa in most cases ni wizi mtupu:israel:

Hata hivyo ukinisifia uwongo mie nitajua tu...Nikipiga mzigo sihitji hata kusifiwa kwani matokeo yanakuwa wazi kwa pande zote...Lakini elewa pia matokeo mazuri ya mechi yanachangiwa na timu zinaocheza....lazima wote tuparticipate na hasa jkwa upande wangu lazima unijengee mazingira kwani nikiboreka kiduchu tu tunaweza toka bila bila....
 
Back
Top Bottom