Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
- Thread starter
- #21
Ngoja tuendelee kuzisubiriaNi kawaida mkuu! Huwa wanaajiri kulingana na uhitaji lakini pia kulingana na bajeti iliyopo serikalini maana nao huwa wanaomba vibali vya kuajiri ndio waweze kuajiri!
Na hizi ajira za wakufunzi huwa hazifanyiki kila mwaka kwa kutangazwa kama ilivyo zingine sometimes wanaweza kuajiri kimya kimya kwa kuona labda kuna mtu wanamwitaji hivyo wakamuombea kibali cha kumwajiri kimya kimya bila kutangaza mlio nje ya mfumo mkaona fulani yupo chuo anafundisha!
Lakini hoja kubwa tangu mwaka jana ilikuwa kusimamishwa kwa ajira nadhani wakipewa kibali cha kuajiri wataajiri tu!