Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,663
- 59,000
Hivi inakuwaje mwaka wa pili huu vyuo haviajiri wakufunzi?
kuna hali gani huko vyouni..Udom.etc?
kuna hali gani huko vyouni..Udom.etc?
Magofu je?Ajira zilikua zimefungwa babu..
Kama UDSM (Chuo kikuu cha Tanzania) kimestop kuajiri sembuse hivi vyuo vingine Takataka!!!
Maana vyuo vingine huwa wanaiga kila kitu kutoka UDSM.
Wasikia UD inaajiri, na wao matumbo mbele kutangaza ajira!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
aiseee!!!!!Ajira zilikua zimefungwa babu..
Kama UDSM (Chuo kikuu cha Tanzania) kimestop kuajiri sembuse hivi vyuo vingine Takataka!!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
Pole sana kijana.Mim ni mwanafnz wa udom nasem hivi KWELI udom nilipo takataka 100% kwanz uongoz kuanzia juu hakun kitu
Watapunguza labda au kufuta chuo serikali ihamie hapo?Sasa kama UDOM wataongeza lecturers wa nn na wakati baadhi ya majengo yao wamezipatia wizara na idara za serikali watumie kama ofisi? Hii ina maana hawana mpango wa kuongeza wanafunzi kwa miaka ya karibuni!
Ajira zilikua zimefungwa babu..
Kama UDSM (Chuo kikuu cha Tanzania) kimestop kuajiri sembuse hivi vyuo vingine Takataka!!!
Maana vyuo vingine huwa wanaiga kila kitu kutoka UDSM.
Wasikia UD inaajiri, na wao matumbo mbele kutangaza ajira!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
Ajira zilikua zimefungwa babu..
Kama UDSM (Chuo kikuu cha Tanzania) kimestop kuajiri sembuse hivi vyuo vingine Takataka!!!
Maana vyuo vingine huwa wanaiga kila kitu kutoka UDSM.
Wasikia UD inaajiri, na wao matumbo mbele kutangaza ajira!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
Nna mashaka n uiengineer wako..Ajira zilikua zimefungwa babu..
Kama UDSM (Chuo kikuu cha Tanzania) kimestop kuajiri sembuse hivi vyuo vingine Takataka!!!
Maana vyuo vingine huwa wanaiga kila kitu kutoka UDSM.
Wasikia UD inaajiri, na wao matumbo mbele kutangaza ajira!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
toa jibu la swali uliloulizwa.. kelele nyingi halaf pointless..!!!!Ajira zilikua zimefungwa babu..
Kama UDSM (Chuo kikuu cha Tanzania) kimestop kuajiri sembuse hivi vyuo vingine Takataka!!!
Maana vyuo vingine huwa wanaiga kila kitu kutoka UDSM.
Wasikia UD inaajiri, na wao matumbo mbele kutangaza ajira!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
kasoma sijui IT sijui Computer science halaf anajiita EngineerNna mashaka n uiengineer wako..
mchangiaj na we pia ni takatakaAjira zilikua zimefungwa babu..
Kama UDSM (Chuo kikuu cha Tanzania) kimestop kuajiri sembuse hivi vyuo vingine Takataka!!!
Maana vyuo vingine huwa wanaiga kila kitu kutoka UDSM.
Wasikia UD inaajiri, na wao matumbo mbele kutangaza ajira!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
hivi vyuo vingine Takataka!!!
Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.
udom ubabe mwing na wameona sasa ili kukiandisha hadhi ni kuwapa disko za kutosha wanafunzi wa pale wanaelewa hilo...Mim ni mwanafnz wa udom nasem hivi KWELI udom nilipo takataka 100% kwanz uongoz kuanzia juu hakun kitu
Hizi siasa tuudom ubabe mwing na wameona sasa ili kukiandisha hadhi ni kuwapa disko za kutosha wanafunzi wa pale wanaelewa hilo...
siasa fafanua kila m2 hakuelewa siasa ni zaidi ya maandish uliyoandika...Hizi siasa tu
Ni kawaida mkuu! Huwa wanaajiri kulingana na uhitaji lakini pia kulingana na bajeti iliyopo serikalini maana nao huwa wanaomba vibali vya kuajiri ndio waweze kuajiri!Hivi inakuwaje mwaka wa pili huu vyuo haviajiri wakufunzi?
kuna hali gani huko vyouni..Udom.etc?