Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Habari zenu wanajamii forum
Hivi hii tabia ya wanawake kuvaa khanga moja yaani hamuoni hata aibu jamani? Mwenzenu juzi kati yamemkuta kwanini ile kanga isipeperuke wakati akiwa sokoni kilichomkuta ni siri yangu.Jitahidini basi kuvaa kitu chochote ndani apart from underwear,hii tabia mmeanza kufanya hata wadogo zenu wa kike kuwaiga na kujikuta na wao wanatembea na kanga hizo mpaka mjini yaani mtu hawazi aisee.Samahani lakini kama nitakuwa nimewakwaza lakini ukweli ndio huo .ACHA KUTEMBEA NA KANGA MOJA KILA MAHALI FANYA HIVYO UKIWA CHUMBANI KWAKO.