Hizi tochi sasa ni too much...

Hizi tochi sasa ni too much...

stardust JK

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,998
Reaction score
4,256
Jamaa akiwa mawindoni[emoji3][emoji3][emoji3]
31045354_1685066978244096_3023985211961265404_n.jpg
 
Jamaa akiwa mawindoni[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 749418

Hii imekaaje?!? Polisi anavunja sheria ili amkamate dereva anayevunja sheria! Hii ni sawa? Ni sahihi kulala kwenye reli? Tena anavunja sheria akitumia kodi zetu! Pale hana chochote cha kwake mwilini mwake, labda chupi tu kama kavaa. Vyote ni mali yetu sisi walipa kodi kuanzia sweta mpaka tochi!!!!
 
Siku hizi hao virafiki huwa hawana shida na wavunja sharia wao wako busy kukutafutia kisingizio chochote tu wakuletee usumbufu. Kwa hakika katika majanga ya kitaifa tuliyonayo moja wapo ni askari wa barabarani
 
Hii imekaaje?!? Polisi anavunja sheria ili amkamate dereva anayevunja sheria! Hii ni sawa? Ni sahihi kulala kwenye reli? Tena anavunja sheria akitumia kodi zetu! Pale hana chochote cha kwake mwilini mwake, labda chupi tu kama kavaa. Vyote ni mali yetu sisi walipa kodi kuanzia sweta mpaka tochi!!!!
jamani ...jamani mbona huku mna vituko hivyo..! mnatuvunja mbavu.
 
Hii imekaaje?!? Polisi anavunja sheria ili amkamate dereva anayevunja sheria! Hii ni sawa? Ni sahihi kulala kwenye reli? Tena anavunja sheria akitumia kodi zetu! Pale hana chochote cha kwake mwilini mwake, labda chupi tu kama kavaa. Vyote ni mali yetu sisi walipa kodi kuanzia sweta mpaka tochi!!!!
Wanakera sana mkuu
 
Hongera sana hawa madereva wamezidi kupatisha ajali tunapoteza ndugu zteu kibao kisa mwendo kasi
Hapo katumia ujanja na minashauti akiwakamata wapigwe faini tu!!!!
 
Hii imekaaje?!? Polisi anavunja sheria ili amkamate dereva anayevunja sheria! Hii ni sawa? Ni sahihi kulala kwenye reli? Tena anavunja sheria akitumia kodi zetu! Pale hana chochote cha kwake mwilini mwake, labda chupi tu kama kavaa. Vyote ni mali yetu sisi walipa kodi kuanzia sweta mpaka tochi!!!!

Hata chupi ni ya kwetu
 
Back
Top Bottom