Hahahhahaa hayo yako madogo aisee kuna wengine wanaagizwa utumbo wa ng'ombe dume(sasa ujiulize mhusika atajuaje kama ni utumbo wa ng'ombe dume), wapo walioagizwa miwa usiku wa manane, wapo walioendea mishikaki umbali wa kilomita tano kwaajiri ya kunusa tu na sio kula na mengine mengi sanaaa.
Nadhani yangekutokea hayo ndo ungejiaminisha kwamba unakomolewa, ila ni mambo ya kawaida tu