Taarifa imetolewa kuwepo kwa mvua kubwa katika siku moja au mbili zijazo.... sikatai taarifa hii lakini ni Utabiri au uhakika? amini usiamini kunasiku hawa jamaa huwa wana copy & ku paste ...katika kutoa utabiri wao wa siku hadi siku.....maana katika hali ya kawaida kuna kuwa na baridi DSM, na DSM kama kuna baridi haijifichi ....... lakini watakuambia nyuzi joto kiwango cha chini ni 20 na cha juu 33 na kesho yake hivyo hivyo....... tungoje hii ya kuanzia kesho iliyosainiwa na Mh. Agnes Kijazi
|Tofautisha kati ya temperature (inayosomwa kwa thermometer) na hali unayosikia kwa kutumia ngozi (confort/dosconfort index). Thermometer inasoma temperature value (let say 33 deg C kama ulivyosema) ikiwa hewa ina unyevunyevu mwingi basi utajiskia joto na kama hewa ni kavu at the same temperature utajiskia baridi. Kipindi cha mwishoni mwa mwaka ukienda Moshi na thermometer yako itasoma joto kati ya 36 na 38 deg C wakati maeneo ya pwani kama Dar itasoma 32-33 lakini utahisi joto zaidi Dar kuliko Moshi. The same applies kwa sehemu kama Khartoum au New delhi ambap[o temperature inafika 40-50 deg C kutokana na altitude yake lakini kunaishika.
Wanatumwa ili wawatishe watu wafanye usafi mifereji ya maji machafu kuepuka mafuriko.....
umeambiwa utabiri wa hali ya hewa(prediction)
Mpwa kwani hatufanyi usafi mpaka tutishwe?
Bila vitisho hakuna kinachosogea, mbona ni saa kumi bado hakuna hata wingu
Hapo sasa ! Inaweza kuwa vice versa si unajua mashine zetu sio reliable mara nyingi ni mitumba.
Hapo sasa ! Inaweza kuwa vice versa si unajua mashine zetu sio reliable mara nyingi ni mitumba.
Niko Bunju DSM, sky is blue, hakuna cha wingu wala nini, hakuna cha baba yake El Ninyo wala shangazi yake. Leo nimeamini kuwa hawa 'the so called' TMA ni wapuuz na majuha kabisa...
Vipi huko wenzetu wa Bunju na kwingineko dalili za Mvua ya El Ninyo leo hali ikoje?