K'T
Member
- May 9, 2012
- 32
- 7
duh leo naona hali imebadilika.... ngoja tuone. wa jangwani mpoooooo?
hata mjini leo kumenuna ila inanyesha kidogo sana yakwaida tu, nahisi mzee waupako kaonge ukweli mvua zitakuwepo ila nizakawaida tu
duh leo naona hali imebadilika.... ngoja tuone. wa jangwani mpoooooo?
Taarifa imetolewa kuwepo kwa mvua kubwa katika siku moja au mbili zijazo.... sikatai taarifa hii lakini ni Utabiri au uhakika? amini usiamini kunasiku hawa jamaa huwa wana copy & ku paste ...katika kutoa utabiri wao wa siku hadi siku.....maana katika hali ya kawaida kuna kuwa na baridi DSM, na DSM kama kuna baridi haijifichi ....... lakini watakuambia nyuzi joto kiwango cha chini ni 20 na cha juu 33 na kesho yake hivyo hivyo....... tungoje hii ya kuanzia kesho iliyosainiwa na Mh. Agnes Kijazi
| 24°C | °F | Tue | |
| Mostly Cloudy | |||
| Wind: N at 0 km/h | |||
| Humidity: 94% |