Hizi taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa vp?

Hizi taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa vp?

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Taarifa imetolewa kuwepo kwa mvua kubwa katika siku moja au mbili zijazo.... sikatai taarifa hii lakini ni Utabiri au uhakika? amini usiamini kunasiku hawa jamaa huwa wana copy & ku paste ...katika kutoa utabiri wao wa siku hadi siku.....maana katika hali ya kawaida kuna kuwa na baridi DSM, na DSM kama kuna baridi haijifichi ....... lakini watakuambia nyuzi joto kiwango cha chini ni 20 na cha juu 33 na kesho yake hivyo hivyo....... tungoje hii ya kuanzia kesho iliyosainiwa na Mh. Agnes Kijazi
 
Tofautisha kati ya temperature (inayosomwa kwa thermometer) na hali unayosikia kwa kutumia ngozi (confort/disconfort index). Thermometer inasoma temperature value (let say 33 deg C kama ulivyosema) ikiwa hewa ina unyevunyevu mwingi basi utajiskia joto na kama hewa ni kavu at the same temperature utajiskia baridi. Kipindi cha mwishoni mwa mwaka ukienda Moshi na thermometer yako itasoma joto kati ya 36 na 38 deg C wakati maeneo ya pwani kama Dar itasoma 32-33 lakini utahisi joto zaidi Dar kuliko Moshi. The same applies kwa sehemu kama Khartoum au New delhi ambapo temperature inafika 40-50 deg C kutokana na altitude yake lakini kunaishika.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
|Tofautisha kati ya temperature (inayosomwa kwa thermometer) na hali unayosikia kwa kutumia ngozi (confort/dosconfort index). Thermometer inasoma temperature value (let say 33 deg C kama ulivyosema) ikiwa hewa ina unyevunyevu mwingi basi utajiskia joto na kama hewa ni kavu at the same temperature utajiskia baridi. Kipindi cha mwishoni mwa mwaka ukienda Moshi na thermometer yako itasoma joto kati ya 36 na 38 deg C wakati maeneo ya pwani kama Dar itasoma 32-33 lakini utahisi joto zaidi Dar kuliko Moshi. The same applies kwa sehemu kama Khartoum au New delhi ambap[o temperature inafika 40-50 deg C kutokana na altitude yake lakini kunaishika.

Thanks mkuu, nimejifunza kitu hapa.
 
Na wewe kweli katika taifa hili kuna taasisi ambazo hazitakiwi kujadiliwa maana zinatunga uongo na kuwaambia wananchi, mfano TANESCO wakikuambia kuwa mgao hakuna wewe kimbia kanunue sola, watu wa hali ya hewa wakikuambia kuwa inakuja elnino wewe anza ujenzi tena bondeni, TBC wakikuambia kuwa wanarusha kitu chochote live kama una safari yako endela tu we subiria kuona hicho kitu kwenye taarifa ya habari, polisi wakikuambia kuwa watatoa taarifa za uchunguzi baada ya mwezi wewe usiulizie maana yake ni kwamba hawatatoa taarifa hizo
 
Niko Bunju DSM, sky is blue, hakuna cha wingu wala nini, hakuna cha baba yake El Ninyo wala shangazi yake. Leo nimeamini kuwa hawa 'the so called' TMA ni wapuuz na majuha kabisa...
 
Mtumishi wa Mungu, Mzee wa upako Mchungaji Anthony Lusekelo alishamwomba Mungu na alishatangaza wazi kuwa HAKUTAKUWA NA MVUA ZA EL-NINO. Mvua zitakuwa za kawaida tu. Hivyo Watanzania ondoeni hofu, hakutakuwa na mafuriko yoyote mwaka huu
 
Saa sita mchana imeshafika bado sijaona 'El Ninyo'... Hii mijitu, hasa huyu CEO-TMA wanatakiwa 'kuchomekwa vijiti'...
 
Bila vitisho hakuna kinachosogea, mbona ni saa kumi bado hakuna hata wingu

Hapo sasa ! Inaweza kuwa vice versa si unajua mashine zetu sio reliable mara nyingi ni mitumba.
 
Watu wakusini kaeni mkao wa kula!

Warning Of Heavy Rainfall.jpg
 
Mpwa vipi uko jirani na Jengo la Hali ya Hewa uwaulize kulikoni mbona mvua hatuioni? Maana hapa nilipo nawapigia simu hata hawapokei kabisa, au labda inanyesha hapo ofisini kwao?
I am confused, really confused manaa hizi taarifa sasa hata mganga wa kienyeji aweza tabiri
Hapo sasa ! Inaweza kuwa vice versa si unajua mashine zetu sio reliable mara nyingi ni mitumba.
 
Safi sana TMA. tanesco walibadili nguzo kujiandaa na el-ninyo na na mifereji ya maji machafu kuzibuliwa. Sasa mtutabirie kama PWEZA ni lini CCM itaondoka madarakani hata kama ni miaka 1,000 ijayo?
 
Niko Bunju DSM, sky is blue, hakuna cha wingu wala nini, hakuna cha baba yake El Ninyo wala shangazi yake. Leo nimeamini kuwa hawa 'the so called' TMA ni wapuuz na majuha kabisa...

Vipi huko wenzetu wa Bunju na kwingineko dalili za Mvua ya El Ninyo leo hali ikoje?
 
Back
Top Bottom