Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,079
hiyo stage ya mwisho mkuu just like "on the other side of love, you tell me you hate me and I hate more"
Dudu linaanzia stage ya ngapi?
Inaanza dudu then stage ndo zinaanza kuhesabiwa
Sisi tuko stage ya ngapi?
Mmh hata sipend kukaguliwa coz nna madhambi yangu... nahis simu yako na wewe ndugu inawalakini
Mmmmmmmmmnh......!!
Dudu linaanzia stage ya ngapi?
Unaijua ya sita? Mnakuwa strangers again..
nadhani tuliruka stage mpk ya6Unaijua ya sita? Mnakuwa strangers again..
Kuna stage ya tano...she is your enemy..the one who hate you with passion
mkuu hii ndiyo stage ya kama unahisi kumchukia chukia mwenzi wako , lakini huwezi kuishi bila uwepo wake.........akisafiri unakuwa unammiss tu n.k