Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,528
- 6,085
hahhaha na yeye labda alitaka kukwepa majukumu kwa kusema hvoHa haa... Huyo mwanamke naye, kwani si angetumia ya kwake tu
Hamna, itakuwa alitaka kutumia hio chance ipasavyo.hahhaha na yeye labda alitaka kukwepa majukumu kwa kusema hvo
Hamna, itakuwa alitaka kutumia hio chance ipasavyo.[/QUOTEhahaha eti kila nafsi itaonja mauti kwani wakat unaomba msaada si ulisema unaogopa kifo
ni kweli mkuu,ila pia watu wengi hawawezi kuwaachia wapenzi wao simu hata dakika mbiliUchepukaji wa simu umeshapitwa na wakati
Haaaaa babu kuna njia nyinginw embu nipe darasa mjukuu wakoUchepukaji wa simu umeshapitwa na wakati
Ili uchepuke eeeh oooohoo tulizana hukoHaaaaa babu kuna njia nyinginw embu nipe darasa mjukuu wako
Aaaa babu uchoyo huoIli uchepuke eeeh oooohoo tulizana huko
Babu yako nikuonee choyo mmAaaa babu uchoyo huo
Sasa mbn hutaki kinifundisha,,,hvi babu hujui mm ni mke wako pia!!!! Kwa mila zetu zakichagaBabu yako nikuonee choyo mm
Anataka tu kujuaIli uchepuke eeeh oooohoo tulizana huko
Ehe, niambie huo ambao uko kwenye chat wee DabyUchepukaji wa simu umeshapitwa na wakati
Ataharibu ndoa sihitaji malelume kwenye ukooAnataka tu kujua
Sitaki kuitia ndoa yako Dosar CHIKILAEhe, niambie huo ambao uko kwenye chat wee Daby
hahahahahahahahahahahahaahSitaki kuitia ndoa yako Dosar CHIKILA
Haha niweke wazi.hahahahahahahahahahahahaah
hahahahah nani? Mondray?! au maana huyo ndio ananiita CHIKILA ahahahahaHaha niweke wazi.
Hivi bado anakuta Chikila au kaacha!