Hizi simu....mmmh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi simu....mmmh!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Katavi, Jun 27, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli uswahilini kuna vituko, hii imetokea mtaani kwetu wikendi hii..........Jamaa katibuana na kimada wake na katika kumaliza hasira zake akaamua kumpigia simu na kumtukana huyo kimada! Sasa kwa hasira kafungua phonebook bila kuwa makini akampigia mkewe badala ya kimada na kumwaga matusi hadi akaridhika......mambo yote yakawa hadharani, jamaa hakurudi nyumbani hadi asubuhi ya jana alipokuja na mshenga na mkwewe kuyasuluhisha. Wazee wa Infidee elimu zaidi inahitajika juu ya zile sheria zenu!!
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ha ha ha hii kali ya mwaka ni kweli yanatokea haya tetetetete
  Sakata limeisha vip hili?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  iNAKUWAJE MTU UNAPIGA SIMU,...NA BILA YA KUSIKILIZA HATA SAUTI UNAANZA KUPOROMOSHA MANENO?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wazee walitatua tatizo, japo mahusiano sio mazuri kati ya mume na mke.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tunatofautiana katika umakini, kwanza kosa kubwa alilofanya ni kutoangalia namba kwa umakini!
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Always mwisho wa wizi ni kukamatwa. Waweza kuwa smart 99% kitu kidogo kikakutia nguvuni.
   
 7. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndo mwisho wa ubaya aibu, sasa hapo anamwangaliaje mkewe
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ha ha haaa hizi simu hizi
  kuna mtu namjua amemtuka bosi wake jana tu..
  baadae ndo akaomba samahani.....yeye alidhani
  ni mtu mwingine..
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa nyumba kubwa, za mwizi ni arobaini!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nyumba inakuwa chungu, hapo hata nyumbani hapakaliki.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaah!! Ni balaa kwa kweli usipokuwa makini.....
   
 12. P

  Penguine JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Hii ni hatari. Infidel wanapaswa kuwa makini.
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hakuna cha umakini utakamatwa tu dawa ni kuacha
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ukiwa makini huwezi kukamatwa!
   
 15. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HAPANA.. Kosa kubwa alilolifanya ni kutoka nje ya ndoa yake!
   
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  duh! bonge la aibu.
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Lakini kwa wakwere si ni sifa??
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Alaa kumbe..!!!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Vibaya sana.....!!
   
 20. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,787
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  nasikia hata kwa wachaga!
   
Loading...