CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 853
jingalaoWanalipwa kwa ajili ya kumshangilia kwa kifupi hizo ni ajira zao eg Elitwege,Barbarossa, Lizabon etc
Magonjwa mtambuka,naibu waziri wakudadavua,kipara kipya(Mathias kipara)
Nani huyo anayechunguzwa?Hivi unapata wapi muda wa kukaa kumchunguza mpaka wanaoshangilia
Kuna baadhi ya watu mna vibarua visivyo na malipo
MboweNani huyo anayechunguzwa?
Kuna vitu vinashangaza ni lazima ufanye uchunguzi binafsi.Hivi unapata wapi muda wa kukaa kumchunguza mpaka wanaoshangilia
Kuna baadhi ya watu mna vibarua visivyo na malipo
Ni utamaduni wa watu wa chama hiki, maana hata wabunge wao wanashangilia kila kitu. Mfano siku waziri mkuu akisema bungeni kuwa si Lisu tu aliyeshambuliwa bali hata Kibiti na Mkuranga watu wengi wameuawa wabunge wao wakashangilia kwa akugonga meza kwa nguvu. Aliposema hata meja wa jeshi alipigwa risasi wakashangiliaNilikuwa naangalia clip ya mheshimiwa kwa sana.
Kwenye clip hiyo zilisikika sauti zikishangilia kila alichoongea mheshimiwa, nikawa najiuliza wanashangilia nini? Au sisikii vizuri anachoongea mheshimiwa? Nika-replay ile clip, kwa kweli maneno yaliyozungumzwa na mheshimiwa na kupelekea wale watu washangilie ni ya kawaida sana!! Na mengine kwa akili tu ya kawaida, si ya kushangilia. Mfano, naagiza jengo hili na hili liangushwe....eti watu wanashangilia!! Sasa jengo kuangushwa ni jambo la kushangilia kweli? Wanashangilia ili iwe nini?
KOSA LA KIUFUNDI:
Ukiangalia kwa umakini ile clip, utagundua watu wanaopiga kelele kwa maana ya kushangilia wanapatikana sehemu moja au ni kusanyiko la watu wanaopatikana sehemu fulani aidha kusini, mashariki, magharibi au kaskazini. Yaani ni kusanyiko la watu limemzunguka mheshimiwa, lakini wanaoshangilia wanakuwa sehemu moja tu.
Yaani hawa jamaa kila kitu wao ni kuchemsha tu, sijui huwa hawapati muda wa kufanya mpango wa muda mrefu.
Unatumia nguvu nyingi zisizo na umuhimu kufikiri vitu vidogo sana. Watu wanapenda JPM, usidhani vichuki vyetu vya mitandaoni ndivyo hivyo mitaani. Walalahoi wanamfurahia, achana na wewe mwenye cheti feki. After all Rais Magufuli si type ya watu wanaofanya maamuzi kufurahisha watu, wao wanakubali tu swagger zake.Nilikuwa naangalia clip ya mheshimiwa kwa sana.
Kwenye clip hiyo zilisikika sauti zikishangilia kila alichoongea mheshimiwa, nikawa najiuliza wanashangilia nini? Au sisikii vizuri anachoongea mheshimiwa? Nika-replay ile clip, kwa kweli maneno yaliyozungumzwa na mheshimiwa na kupelekea wale watu washangilie ni ya kawaida sana!! Na mengine kwa akili tu ya kawaida, si ya kushangilia. Mfano, naagiza jengo hili na hili liangushwe....eti watu wanashangilia!! Sasa jengo kuangushwa ni jambo la kushangilia kweli? Wanashangilia ili iwe nini?
KOSA LA KIUFUNDI:
Ukiangalia kwa umakini ile clip, utagundua watu wanaopiga kelele kwa maana ya kushangilia wanapatikana sehemu moja au ni kusanyiko la watu wanaopatikana sehemu fulani aidha kusini, mashariki, magharibi au kaskazini. Yaani ni kusanyiko la watu limemzunguka mheshimiwa, lakini wanaoshangilia wanakuwa sehemu moja tu.
Yaani hawa jamaa kila kitu wao ni kuchemsha tu, sijui huwa hawapati muda wa kufanya mpango wa muda mrefu.
Cocochannel, Tramadol.....loadingMagonjwa mtambuka,naibu waziri wakudadavua,kipara kipya(Mathias kipara)