hizi proxy mbona speed ya kobe!!!???

jumaa24

Member
Oct 11, 2011
97
13
guys nipeni updates kugusu haya maujanja ya proxy, nyingi zinakataa now baadhi zinakubali lakini poor perfomance!! Au ndo mdogo mdogo wametufuata na huku kutumaliza kabisa??
 
mbona hayo mavitu hayapo kaka!!
kwani wewe unatumia proxy ipi maana nyingi zishatiwa kaburini
 
Back
Top Bottom