Hizi plate number zisizoeleweka zinazidi. Je, trafiki mmeruhusu!?

Na pia tunasema Gas station kwakuwa both kerosene, petrol, diesels ni gas
Is it gas or look like liquid or fluid in their physical form, gas has no definite size like it does for these petrol labda useme ni material yanayo evaporate if left over na yanawaka nitaelewa hivo kuwa ni gas.
 
Cheza Forex tu mzee utayapata
Mi niko kwenye uwanja wa sport betting, forex sielewagi mzee naona forex is not for everyone. Kama nishaoteaga 3millions kwenye sport betting basi pananifaa, nikiwa mkubwa nitafanya forex🤑🤑🤑
 
Google itakusaidia..usibishe tu ili ushinde. Kuna maneno yatakushangaza ushamezeshwa ukajua ndo yalivyo. Unajua chupa unayotunzia chai haiitwi thermos, thermos ni brand ya kampuni kubwa inayotengeneza chupa hizo. So usiite ushamba watz kuita shell vituo vya mafuta.
🙌🙌🙌🙌 Umemaliza mkuu
 
Vipi kuhusu Polisi kutumia namba za AU kwenye magari yao? Mimi binafsi naona ni style ya kizamani sana sababu wahalifu ni rahisi sana kujua kuwa wanafuatiliwa na gari ambayo namba zake si za kawaida. Polisi wa upelelezi wawe tu na Gari za kawaida itakuwa rahisi sana kwao kufanya kazi bila kujulikana.
 
Vipi kwa zile gari za mafuta zenye number plate za nchi jirani mkuu, na ni makampuni ya hapa kwetu inakuaje hiyo?? Na hao wenye hizo kampuni ni watanzania
Na zenyewe zinaruhusiwa, ikiwa hizo kampuni zinatambulika kisheria Tanzania. Ni sawa na mabasi yenye namba za Tanzania au Kenya kuleta abiria Tanzania na kwenda na abiria Kenya.
 
Vipi kuhusu Polisi kutumia namba za AU kwenye magari yao? Mimi binafsi naona ni style ya kizamani sana sababu wahalifu ni rahisi sana kujua kuwa wanafuatiliwa na gari ambayo namba zake si za kawaida. Polisi wa upelelezi wawe tu na Gari za kawaida itakuwa rahisi sana kwao kufanya kazi bila kujulikana.
Wanazo, na hawazitangazi, ndio maana hujui kama wanazo. Maana ukijua haina maana tena.
 
Nyie waarabu mnataka uraia pacha ili mlete ugaidi Tanzania?
Mkuu, watu wanaoelewa mambo ya magari wanakushangaa sana na hii thread yako. Una maanisha nini watu wanajipachikia namba? Yaani wewe unafikiri kila gari iliyopo Tanzania basi lazima iwe na namba za T...?

Sasa iko hivi. Gari ya nchi yeyote ambayo inaweza kutembea hadi Tanzania inaruhusiwa kuingia nchini chini ya kitu kinaitwa "Temporary Import Permit" ambapo unapewa muda wa miezi miwili kwa kulipia dola 25 kila mwezi bila kubadidilisha namba zako. Miezi miwili ikipita unaruhusiwa kuongeza mwezi, na baada ya hapo lazima gari itoke nje ya Tanzania, ila ukitaka unaweza kutoka na kuingia tena.

Kwa hiyo usishangae kuona gari nchini Tanzania zina namba za Msumbiji, Zambia, Kenya, Uganda, South Sudan, Rwanda, Botswana, South Africa, Malawi, Zimbawe nk. Sio kwamba watu wanajipachikia namba bali zinaingiwa kihalali chini ya temporary import permit. Na ili uingize gari ya namba za nje kwa temporary permit lazima usiwe Mtanzania, au uwe Mtanzania ambaye unaishi huko nje. Kama ni Mtanzania huishi huko huruhusiwi kuingiza gari chini ya temporary permit.

Kama hiyo gari uliyoweka, nahisi ni ya Msumbiji ndio wanatumia number plates nyeusi.

Hao ndio watu wanaoishi nje wanataka uraia pacha, acha kuwaonea wivu na namba zao za nje, hawajipachikii!
 
Hiyo ya bodaboda zisizo na side mirror ni pesa wangeikusanya vizuri tozo lisingetupiga sana. Ni chanzo cha ajali nyingi. Hicho hua ni kigezo cha kwanza nikiwa nataka usafiri wa bodaboda.

Hawa wazee wa kiwi hawajiongezi kabisa.
Yaani katika kitu ambacho serikali ilibugi kwanza ni kuwapunguzia bodaboda na dada yao bajaji fine kutoka 30 hadi 10. Aisee hawa wanaongoza kuua ajali na kusababisha ajali. Kuna mwingine kanipandisha juzi kati usiku halafu eti hana taa anadai njia anaijua nani highway nikamzaba vibao nikaondoka na funguo nikamwambia azikute kituo xxx cha polisi.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, watu wanaoelewa mambo ya magari wanakushangaa sana na hii thread yako. Una maanisha nini watu wanajipachikia namba? Yaani wewe unafikiri kila gari iliyopo Tanzania basi lazima iwe na namba za T...?

Sasa iko hivi. Gari ya nchi yeyote ambayo inaweza kutembea hadi Tanzania inaruhusiwa kuingia nchini chini ya kitu kinaitwa "Temporary Import Permit" ambapo unapewa muda wa miezi miwili kwa kulipia dola 25 kila mwezi bila kubadidilisha namba zako. Miezi miwili ikipita unaruhusiwa kuongeza mwezi, na baada ya hapo lazima gari itoke nje ya Tanzania, ila ukitaka unaweza kutoka na kuingia tena.

Kwa hiyo usishangae kuona gari nchini Tanzania zina namba za Msumbiji, Zambia, Kenya, Uganda, South Sudan, Rwanda, Botswana, South Africa, Malawi, Zimbawe nk. Sio kwamba watu wanajipachikia namba bali zinaingiwa kihalali chini ya temporary import permit. Na ili uingize gari ya namba za nje kwa temporary permit lazima usiwe Mtanzania, au uwe Mtanzania ambaye unaishi huko nje. Kama ni Mtanzania huishi huko huruhusiwi kuingiza gari chini ya temporary permit.

Kama hiyo gari uliyoweka, nahisi ni ya Msumbiji ndio wanatumia number plates nyeusi.

Hao ndio watu wanaoishi nje wanataka uraia pacha, acha kuwaonea wivu na namba zao za nje, hawajipachikii!
Ulikurupuka saana hapa... Tembea tembea kidogo afu uje utoe comment teena
 
Back
Top Bottom