Hizi plate number zisizoeleweka zinazidi. Je, trafiki mmeruhusu!?

Nimekupata unazungumzia brand domination kwa Tanzania but not outside.
Sasa Petrol station ni sahihi
Google itakusaidia..usibishe tu ili ushinde. Kuna maneno yatakushangaza ushamezeshwa ukajua ndo yalivyo. Unajua chupa unayotunzia chai haiitwi thermos, thermos ni brand ya kampuni kubwa inayotengeneza chupa hizo. So usiite ushamba watz kuita shell vituo vya mafuta.
 
Ndiyo nimefahamu leo mkuu asante kwa kututoa ushamba.
Hii ya sheli nilikuwa naijua muda mrefu kidogo nadhani amna kampuni ya shely tena hapa Tanzania.
Shely, Gapco, oilcom, rahisi, total n.k vyote hivi ni majina ya vituo vya mafuta, ila huu ushamba wa watanzania unafanya akili zinalala. Vituo vya mafuta tunaita sheli, utasikia mshamba anasema naenda shely ya oilcom amna sheli ya total
Ni kama pen kuita bic
 
Hiyo namba nyeusi kwenye picha ni ya nchi gani sema. Hako kagari kana miezi lukuki nakaona na hiyo number plate kakiteka mtu haka kakatokomea huko utakatrace vipi ingali namba sio zilizozoeleka Tanzania...

Kwa mfano wa hiyo picha niloweka hakuna nchi jirani ya Afrika inatumia namba hiyo...

Upo uwezekano wa wahalifu kujificha humo na hapa Dar huu ushakuwa mtindo...namba za nchi jirani zote tunazielewa

Kuna uholela nauona kwenye hili police wafanye kazi yao.

By the way nikutoe wasiwasi magari ndo shughuli zinazoniweka mjini so nachoongea nakielewa na yanakuja ofisini kwangu magari yenye number plates za hivi sana ndio sababu nahoji hapa

Iyo number plate nj ya Singapore
 
Ndiyo nimefahamu leo mkuu 😅 asante kwa kututoa ushamba.
Hii ya sheli nilikuwa naijua muda mrefu kidogo nadhani amna kampuni ya shely tena hapa Tanzania.
Shely, Gapco, oilcom, rahisi, total n.k vyote hivi ni majina ya vituo vya mafuta, ila huu ushamba wa watanzania unafanya akili zinalala. Vituo vya mafuta tunaita sheli, utasikia mshamba anasema naenda shely ya oilcom amna sheli ya total
Kama inaeleweka kirahisi we tatizo lako ni nini? Sheli ndio jina la kituo cha kujazia mafuta! Kiwe total au Puma ila cha kwanza kiliitwa sheli na ndio ishakuwa utamaduni.

Dala dala ni jina la usafiri wa umma japo chanzo ni kuwa ulipoanza nauli ilikuwa sh.5 ama dala na ndio mpaka leo imezoeleka!
 
Kwa ninavyoelewa mimi, hizo namba ni maalum kwa ajili ya kikosi kazi fulani ikiwemo wale jamaa wa Usalamani. Sio kwamba Trafic hawazijui, na nikuongezee tu hapo, kuna hii ya DFPA au magari yenye number plate za majirani, sio zote ni gari za majirani. Zile zinakuwa zipo kimkakati au unakuta kuna GX R V8 jipyaaaa lina namba pleti nyeupe ya biashara au ni namba A Au B.

Zinduka faza
 
Plate number huandikwa kwenye number plate, sasa sijajua unataka kusema nini hasa. Na plate number simply means namba iliyoandikwa kwenye plate, in this case plate ya bati.
Anaelewa maana unataka kumtafsiria maana aisee...zunguka zunguka ila ile ni Number Plate na sio Plate number mbona kilmalkia cha chekechea hicho...
 
Ushamba huu mwee..nami ndy nafahamu Leo habari ya sheli

Kuanzia Leo sitasema naenda sheli ya oilcom au sheli ya total
 
Kama inaeleweka kirahisi we tatizo lako ni nini? Sheli ndio jina la kituo cha kujazia mafuta! Kiwe total au Puma ila cha kwanza kiliitwa sheli na ndio ishakuwa utamaduni.

Dala dala ni jina la usafiri wa umma japo chanzo ni kuwa ulipoanza nauli ilikuwa sh.5 ama dala na ndio mpaka leo imezoeleka!
Mambo ya brand domination mkuu unavoambiwa customize life style yako like
Fuel: Shely
Drinking: Hennessy
Watch: Mount Black
Shoes: Gucci
$hirt: Versace
Belt: Louis Vuitton LV
Cap: Dior
Ride: Mercedes Benz E class, left sterling
Phone: iPhone X
New Residences: Osterybay new.
et al........
 
Hahahah hizo ni name brands zote ukitaka unaishi nazo tu
 
Back
Top Bottom