Hizi plate number zisizoeleweka zinazidi. Je, trafiki mmeruhusu!?

Juzi nimeona gari ipo ivyoivyo imepaki bar ila ukiangalia kwenye vioo unaona stk inasomeka, sio wote eti ni special force wengi wanatumia magari ya serikali kwenye shughuli binafsi na hizo namba wanazifunga ili isijulikane kama ni gari ya serikali.
 
Ipo sana hii baada ya kazi wanziba STK na plate ingine na vile jion basi fresh..
Sema ukila buyu huko baa ndio utajua hujui
 
Back
Top Bottom