Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,194
- 99,925
Hata Mimi sijaelewa kitu hapaHata sijaelewa
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Wakati tunawahi shule ww unakwepa umande pole sanaHata sijaelewa
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahahha ukute Kijana ndiio yuko twenties Hahaha mnara unasoma 4G, unafikiri kwenda kupiga show za kibabe!Hata kama picha hazina ukweli, lakini kuna funzo zinatoa kuhusu maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Kwamba huwezi kumtambua mtu aliyeathirika kwa kumtizama.
Tahadhari za kujikinga dhidi ya maambukizi ni muhimu kuzingatiwa wakati wote. Mathalani ukimtizama mrembo huyo pichani, ikitokea akakurudhuku game, kwa wale mabaharia uwezekano wa kuloweka ni mkubwa sana.
Allah atunusuru Wallahy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo mdogo tu, don't worry
Yanazungumzika! Kuku pia wanapewa ARV
View attachment 1062951 kwa mbali namuona nanihii. Nimeziona asubuhi hii nikastuka Kidogo View attachment 1062943View attachment 1062944View attachment 1062945View attachment 1062946View attachment 1062948View attachment 1062949View attachment 1062950
You are strong than what you think...
Dah. Mpwa umeandika kwa msisitizo saaana na Uchungu Sana Sana aiseeee!! Akikupa siku za kwanza utatumia Kondom Halafu baada ya hapo ni kufanya maombi tu! Nawaonea huruma SanaDaah, ila tuache utani. Tusiongee tu kwa sababu tumeona picha zake tofauti tofauti. Kuna asilimia kubwa sana ya sisi wanaume kutaman kumpiga show za kibabe huyo dada ili akasimulie wenzake.
Ni mkali na amesimamia ukucha aisee, ila huwez amin kwmb taa nyekundu ishawaka. Akikupa huyo, hata kivazi unaweza ukasahau, maeeee...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
BroilersYanazungumzika! Kuku pia wanapewa ARV
You are strong than what you think...
Ndio Mpwa, Kwahio tayari tunakua na kinga mwilini ya kutosha tu, usiogope kujilipua lakini kabla ya kujilipua fikiria kuhusu watoto wako, familia yako, ndugu zako, mali zako na mateso yake, plus Denial kutoka kwa ndugu. Fanya ile inaitwa Cost benefit analysis