Ningekutafuta haraka kama ulivyosema lakini jina lako ndo limenitisha Mwakyembe Vijana wako watizame tizame na humo Jf...maana majina mengine yasiwe yanasadifu yaliomo.....
Wa hivi ndio raha akiwa mke wako.
Hata pafomensi itabidi kuifanyia hapo hapo kama vindege vile...
Nimejituma mwenyewe
Wa hivi ndio raha akiwa mke wako.
Wa hivi ndio raha akiwa mke wako.
Unamkunja utakavyo
Wanakuwa na confidence kutokana na kamba walizofungwa kiunoni so hata akiteleza hawezi kuanguka chini atabaki ananing`inia kwenye kamba. adhubutu kutembea kavu kavu bila kamba basi aone!!!!!!