Hizi pete ni kweli mmechumbiwa?

Hizi pete ni kweli mmechumbiwa?

kuna wengine wamezivaa huu mwaka wa kumi mpaka zimeota kutu.
 
Mbn wanalika vzr sema ww
Swaga zmekushinda

Triple A
 
Acha woga ww.hizo ni kama wigi tu.we endelea tu.ila kuwa na akiba ya kawese mambo yakiharibika .
 
Pete sio kinga, na wapo wanaovaa pete mbili moja ya mume halali na nyingine ya mchepuko, chunguza mkeo ukiona kavaa mbili ujue mko wawili na mwenzako ndio anaemsugua vzr.
 
Back
Top Bottom