Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
NUKUU ZA LEO
A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela.
š. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi.
C). "Uhaini si kuzuia serikali kufanya kazi yake, uhaini wa kweli ni kuzuia wananchi kufanya siasa na kuzuia wasieleze hisia zao kwa viongozi" Kiiza Besigye.
D). āKama dola inamfumba mdomo raia wake mwenye maoni, basi dola hiyo ni mbaya kuliko shetani, maana Shetani hajawahi kuzuia maoni hata ya wale wanaompinga na kumkemea.ā Ngugi wa Thiong'o.
E). "Askari wanaoficha sura zao wanajua wanatekeleza amri isiyo halali, maana hakuna amri halali inayotekelezwa gizani. Haki huishi katika mwanga wa uwajibikaji.ā Hakainde Hichilema.