Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

Habarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.

Kwa mtazamo wangu Scotland Yard ya Uingereza na FBI ya Marekani hawana uwezo wa kuchunguza kubaini wahusika wa mashambulizi dhidi ya Tundu Lissu. Sababu ni hizi zifuatazo:

1. FBI hadi leo wameshindwa kubaini Urusi iliwezaje kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani hadi kudictate matokeo ya uchaguzi huo, bila wao kubaini jambo hilo na kulizuia mapema.

2. FBI hadi leo hawajatuambia ni nani alimuua Rais John F Kennedy.

3. Hadi leo Scotland Yard hawajatuambia ni nani alimuua Princess Diana.

4. Scotland Yard, hadi leo hawajatuambia kwanini hawakuzibaini mapema athari za Uingereza kujiunga na Umoja wa Ulaya hadi miaka kadhaa imepita ndipo Uingereza inahaha kujitoa EU.

Tukielezwa na kupatiwa majibu ya mikanganyiko hiyo, nitakuwa wa kwanza kuunga mkono ujio wa hao Watu, vinginevyo ni mjambo tu kama ilivyo mijambo mingine ya wanasiasa uchwara.
waje wasije wajulikane waliomshambulia lisu.
 
Mtu kama huyu unaweza kukuta ndio ametoa wazo la kujenga ukuta kwenye vitalu vya tanzanite
 
FBI wana mamillion ya kesi wameahindwa kujua nani kafanya, wanaweza tuu pale ambapo mtu kaacha ushaidi. Mfano rahisi ni ya wanamuziki wawili Tupac na Biggie, FBI wako wapi???
 
FBI au Scotland Yard waje kuinvestigate shauri ambalo halina muhusika wa nchi zao? Vipi suala la jurisdiction? Tukumbuke taasisi hizo ni za umma wa nchi husika. Labda hapa akodiwe private investigator Mmarekani Steve Rambam, Paula Zahn etc
 
Hawa ndio wachambuzi wabobezi tulio nao sasa JF, na ndio washauri wakuu wa CCM na serikali (Think Tank)

Anayokueleza ni kweli tupu. Sisemi yaliyompata Tundu Lissusi si mazuri, lakini mpaka sasa hakuna ushahidi Kuwa vyombo vya usalama vimehusika. FBI AMA vyombo vya nje vya usalama havichukuwi siasa AMA uvumi wa mitaani kama ushahidi. Dunia kwa sasa ina changamoto nyingi, shida za Tanzania sio za maana sana kwa sasa, zitaamuliwa tu na Watanzania wenyewe. Marekani kwa sasa haina sauti ya kutetea haki za binadamu. Rais wao ni champion wa kuvunja haki za binaadamu. Watu weusi wanapigwa risasi bila ya kosa na polisi weupe, waziwazi, wakipekekwa mahakamani wanaachiwa, ni kama wakati wa Kikwete na mafisadi, walikuwa hawashitakiwi, na hata wakifishwa mahakani hawafungwi. Wameshindwa kuingilia Kenya kifo cha Musando mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi, tajiri mkubwa wa Kenya Juma ambaye kabla ya kuuwawa alimutaja wazi wazi kwenye mandawo, kuwa DP Ruto atamuwa na atawatumia watu gani kwa kumuuwa, baada ya wiki mbili, Juma akauwawa. Nasikitika mambo haya yalikuwa yakifanyika nchi jirani, ni mageni kwa Tanzania. Natumaini serikali itafanya uchunguzi wake waliofanya vitendo hivi muchana kweupe washikwe. Vitendo hivi vinaivua Tanzania kuwa ni nchi ya amani.
 
Waziri Robert Ouko aliuwawa mwaka 1990 huko Kenya na watu wasiojulikana. Baada ya malalamiko kutoka kwa wananchi serikali ya Rais Moi iliwaruhusu Scotland yard chini ya Inspector John Troon ifanye uchunguzi wake na baada ya uchunguzi huo suspect akawa Nicholas Biwott na Hezekiah Oyugi. Ni muhimu kwa serikali ikasikia ushauri wa chadema ikawaruhusu wapelelezi kutoka nje
Read kwenye Google Robert Ouko Investigation..
 
Si ushabiki tuu wa BAVICHA kama CIA, NSA,FBI, SWATS walindwa kubaini aliyemuua JFK wataweza hili?
After all hata wakija watawategemea wapelelezi hawahawa wa kibongo kupata habari na kuwaongoza.waafrika bwana tuna matatizo ya kutojiamini
 
Habarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.

Kwa mtazamo wangu Scotland Yard ya Uingereza na FBI ya Marekani hawana uwezo wa kuchunguza kubaini wahusika wa mashambulizi dhidi ya Tundu Lissu. Sababu ni hizi zifuatazo:

1. FBI hadi leo wameshindwa kubaini Urusi iliwezaje kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani hadi kudictate matokeo ya uchaguzi huo, bila wao kubaini jambo hilo na kulizuia mapema.

2. FBI hadi leo hawajatuambia ni nani alimuua Rais John F Kennedy.

3. Hadi leo Scotland Yard hawajatuambia ni nani alimuua Princess Diana.

4. Scotland Yard, hadi leo hawajatuambia kwanini hawakuzibaini mapema athari za Uingereza kujiunga na Umoja wa Ulaya hadi miaka kadhaa imepita ndipo Uingereza inahaha kujitoa EU.

Tukielezwa na kupatiwa majibu ya mikanganyiko hiyo, nitakuwa wa kwanza kuunga mkono ujio wa hao Watu, vinginevyo ni mjambo tu kama ilivyo mijambo mingine ya wanasiasa uchwara.
Mmh pengine husomi habari za kimataifa ama una lako jambo
 
kuchunguza tukio la lissu ni rahisi zaidi kuliko tukio lolote unalolijua. kwanza kuna gari iliyokuwa ikimfuatilia muda wote inajulikana. pia kuna wale walinzi wa area D. .yako mengi. serikali imeamua tu kupuuzia. ikiamua inawapata wauaji wa lissu.
 
Aliyekuwa PM Peter Kayanza Pinda alisema Bomu lililolipuka kwenye Mikutano wa Mbowe Arusha lilitoka kwenye ghala la serikali na nilikuwa ndiyo kwanza limetokea Fulani,je aliyelitoa huko alifahamika??

Kama hapana basi Wasiojulikana wanajulikana cha msingi neutral party inahitajika kwenye hili.

Tukubali tu usiku uitwe usiku na tunahitaji kuwasha taa tuone.

Mauaji na Utekaji tuseme inatosha,hii Haina Chama kuna siku mleta mada itasuguana na Wasiojulikana ukavurumishiwa risasi.

Tunahitaji Taifa lenye afya na Tanzania yetu zote wote tumeikuta na tutaiacha.

Hakuna Tanzania ya CCM wala Magufuli. Tanzania ni ya Watanzania. Tupendane
 
[QUOE="tindo, post: 23586151, member: 55693"]Mwambie huyo boya mwenzio hapo juu hao FBI walishindwa kumpata muuaji wa J.F. Kennedy kwa kuwa alikuwa amekufa, lakini Lissu yupo hai wataweza.

Lissu ni Mtanzania kama wewe na Mimi.Anayohaki ya kuishi kwa amani kama wewe na Mimi.Hakuna mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa Mtanzania kwa sababu yeyote ile.

Usijiyoe ufahamu.Hakuna Tanzania ya CCM wala ya Magufuli hilo mlifahamu.Tanzania ni yetu sote.Acheni kujiona mnahaki kuliko wengine.Labda wewe na familia yako Hamna hadhi ya kuwa Watanzania lakini waliobaki tunayo hadhi na haki ya kulindwa na kutunziwa UTU wetu.Hii Tania ya kwani ni nani iishie Lumumba
 
Habarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.

Kwa mtazamo wangu Scotland Yard ya Uingereza na FBI ya Marekani hawana uwezo wa kuchunguza kubaini wahusika wa mashambulizi dhidi ya Tundu Lissu. Sababu ni hizi zifuatazo:

1. FBI hadi leo wameshindwa kubaini Urusi iliwezaje kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani hadi kudictate matokeo ya uchaguzi huo, bila wao kubaini jambo hilo na kulizuia mapema.

2. FBI hadi leo hawajatuambia ni nani alimuua Rais John F Kennedy.

3. Hadi leo Scotland Yard hawajatuambia ni nani alimuua Princess Diana.

4. Scotland Yard, hadi leo hawajatuambia kwanini hawakuzibaini mapema athari za Uingereza kujiunga na Umoja wa Ulaya hadi miaka kadhaa imepita ndipo Uingereza inahaha kujitoa EU.

Tukielezwa na kupatiwa majibu ya mikanganyiko hiyo, nitakuwa wa kwanza kuunga mkono ujio wa hao Watu, vinginevyo ni mjambo tu kama ilivyo mijambo mingine ya wanasiasa uchwara.
Vyombo vya kwetu ndio hovyo kabisa!
Vimeshindwa yafuatayo:-
1.Kuwatambua na kuwakamata waliomuua Alfons Mawazo
2.Kuwatambua na kuwakamata waliopiga mabomu Arusha
3.Kutambua alipo Ben saa nane
Kwa hayo machache tu kati ya mengi ambayo wameshindwa kuyafanyia kazi, ni dhahiri kuwa kwa muda wote ambao umeisha basi hata hili la Lissu watashindwa au kama serikali inahusika basi tusitegemee kuwa wahusika watakamatwa!
Kwa nini serikali inahaha, iruhusu mossad waingie kazini tuone!
Serikali inaogopa maana itavuliwa nguo.
 
nimekuja mbiombio nikajua kuna hoja za maana ungesema hawawezi kuja kwakuwa vyombo vyetu havijashindwa kidogo ningekuelewa,
 
Habarini wanajamvi. Kufuatia Tundu Lissu kumiminiwa risasi na Watu wasiojulikana, kumekuwa na madai kadhaa kuwa pengine nchi (TZ) iitishe uchunguzi huru wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo kutoka kwa vyombo vingine vya kiuchunguzi kutoka nchi za kigeni hasa Scotland Yard ya Uingereza au FBI ya Marekani.

Kwa mtazamo wangu Scotland Yard ya Uingereza na FBI ya Marekani hawana uwezo wa kuchunguza kubaini wahusika wa mashambulizi dhidi ya Tundu Lissu. Sababu ni hizi zifuatazo:

1. FBI hadi leo wameshindwa kubaini Urusi iliwezaje kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani hadi kudictate matokeo ya uchaguzi huo, bila wao kubaini jambo hilo na kulizuia mapema.

2. FBI hadi leo hawajatuambia ni nani alimuua Rais John F Kennedy.

3. Hadi leo Scotland Yard hawajatuambia ni nani alimuua Princess Diana.

4. Scotland Yard, hadi leo hawajatuambia kwanini hawakuzibaini mapema athari za Uingereza kujiunga na Umoja wa Ulaya hadi miaka kadhaa imepita ndipo Uingereza inahaha kujitoa EU.

Tukielezwa na kupatiwa majibu ya mikanganyiko hiyo, nitakuwa wa kwanza kuunga mkono ujio wa hao Watu, vinginevyo ni mjambo tu kama ilivyo mijambo mingine ya wanasiasa uchwara.
Wananchi waliliona hilo kabla yako wakaja na wazo la kumuomba MUNGU awafichue/awabainishe hao wauwaji.
Wazo hilo pia lilikataliwa.
Je lilikataliwa kwa sababu MUNGU alishawahi kushindwa JAMBO lolote?
 
Uchunguzi huru, una mawili.Moja kuyasema ambayo siyo, na la pili, kuyasema ambayo ndiyo.Kwa nini, wapo wa upande ule wa kulalamika, watapenya kwa namna moja ama nyingine kwa uchunguzi huo wa huru waonekane nao ni wahusika waweze kulazimishia report iwe YES, Hususani na wale wa kulalamikiwa, watapenya pia, na kulazimisha report iwe NO, kosa ukishasema, upelelezi HURU, alafu mbaya kabisa ni kutoka nje, ni hivi lazima information zianzie kwa makundi mawili, walalamikaji,ama mtuhumiwa, sasa hapo ndiyo kuna kupenya kwa watu ili kulazimisha taarifa.Mimi ni mtazamo wangu. Ushauri , tuiache serikali ifanye kazi
 
Sawa, lakini kumbukeni Wasijulikana ni watu, msilazimishe Upande ule utengeneze wasiojulikana wao, hapo ndipo mtajua matukio mnayoyafanya sio mazuri,

Nyinyi ni Binadamu mna akili, na wale ni Binadamu wana akili

Kuweni Makini na majubu yenu
 
Back
Top Bottom