hizi ni pikipiki au baiskeli?

hizi ni pikipiki au baiskeli?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,061
Reaction score
9,666
kuna ubunifu wa kuifunga injini baiskeli, natumaini wadau mmeshaziona baiskeli za aina hiyo. sasa baiskeli ya aina hiyo inaangukia kwenye kundi lipi kati ya magari/pikipiki ambayo husajiliwa au baiskeli/maguta ambayo hayahitaji kusajiliwa?
 
Back
Top Bottom